Ndugu zangu!
Nyumba ipo eneo ambalo sidhani kama kuna fungikuvu wala bakteria wala unyevu, (hapa najifariji kuwa sihitaji binder) kwa maana nyumba za huko nyingi ni za udongo na ziko poa tu...
Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs...
Habari wakuu!
Jamani kuna fundi hapa anataka kuniwekea madirisha ya vioo kwenye nyumba yangu lakn bei zake kwa dirisha moja la 5/6 anafanya tsh 32000 je ni bei za kawaida au ntapigwa.
Naombeni...
Dalali yoyote ambae yupo tayari kufanya biashara naomba anicheki kwa no;0783 24 2247
Nahitaji chumba chenye sifa zifuatazo:
Kiwe ni master room
Kiwe maeneo ya Kimara
Kiwe ndani ya geti/fensi...
Wadau..ninajenga nyumba mkoani Morogoro ina vipimo vya urefu ni 15 na upana ni 12. Ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala (viwili kati ya hivyo ni self contained), kimoja cha kawaida na sitting na...
Tunatofautiana uwezo, nyenzo na vigezo, hivi hupelekea kukimbizana na muda katika hitaji la kumiliki nyumba zetu binafsi.
Lakini richa ya muda na umri, kila mtu atapambana hadi mwisho amiliki...
Wadau wa JamiiForums habari zenu, Mimi Ni graduate engineer kwenye kozi ujenzi barabara na majengo ngazi ya Diploma, hivyo Ninaomba msaada wa kimawazo Kuna contractor ambaye alinisihii nimsajilie...
Wakuu habarini za kazi, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa
Naombeni msaada kuhusu aina ya ndondo za kutumia kwenye ufungaji wa lenta, nyumba yangu ni kubwa vyumba vitatu, sitting room, dinning...
Wadau, naombeni kujuzwa (majina na namba za simu) za maduka yanayouza vifaa vya umeme kwa ajili ya wiring ya nyumba ya makazi. Nimekuja Dsm nataka kufanya shopping.
Natanguliza shukrani.
Sent...
Habari za kazi wadau!
Nina nyumba yangu ambayo nimeahamia mwaka jana, ingawa bado sijamalizia finishing. Mara baada ya kuhamia kwenye nyumba yangu nilishangazwa na kushtuswa na sauti za wadadu...
Mimea inasaidia kuleta hewa safi tunayoihitaji kwa afya zetu. Uharibifu wa mazingira unaongezeka hasa mijini.
Hii picha inaonyesha unavyoweza kujiongeza na kupata hewa safi hasa wakati ukiwa...
Chuo cha Mipango Dodoma mbioni kujenga Shopping Mall kama ya MLIMANI CITY ikiwa ni kumbukumbu za Mawaidha ya Mwalimu Nyerere ya MADUKA ya Ushirika.
Jengo hilo litajengwa Jendegwa mkoani Dodoma...
Habar wakuu.....
Ninaomba ndugu zangu mafundi wa ujenzi wa nyumba muniseidie tathmini kidogo ya vitu ili niweze kujenga msingi wa nyumba yangu
Targets ni vyumba 3 kimoja masters , viwili kawaida...
Habar wakuu..
Kama kichwa cha habari hapo juu
Nina ka eneo changu kigamboni chenye ukubwa wa urefu mita 14.3, upana mita 9.75 ninataka nijenge vyumba vitatu ,kimoja master , sebule, kijiko ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.