Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni swali tu la Jumamosi, Unadhani kwanini Mbowe na Mnyika wanang'ang'ania CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa Tume ile ile ya Uchaguzi? Swali hili linakuja kufuatia kauli ya Naibu Katibu Mkuu...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu, safari hii mambo ni moto kwelikweli! Ripota wenu, Cute Wife, kama kawaida nawasogezea taarifa ili siku ya kupiga kura mfanye maamuzi sahihi. Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi wa...
0 Reactions
4 Replies
834 Views
Kwa wataalamu wa siasa na mikakati ya kuwaweka pembeni watu ambao wana nguvu kisiasa nchni, je endapo Waziri Mkuu wa sasa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM atakuwa ameula au itakuwa njia ya...
0 Reactions
8 Replies
763 Views
Tanzania tuna Makamu wa Rais ( Vice president) Marekani Wana Makamu wa Rais kama Tanzania Kenya Wana Naibu wa Rais ( Deputy President) Tofauti yao ni nini? Sabato Njema 😃
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Katiba ya nchi inampa haki ya kuchagua na kuchaguliwa aliyetimiza umri wakupiga kura, hakina sharti la ajira. Maadamu wameweka sharti la ajira lisilokuwemo kwenye katiba mnabidi mwaelimishe...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake. Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23...
11 Reactions
91 Replies
4K Views
Hawa ndo wametufanya masikini ndo tunawapigia magoti.. Let our oppressors apprehend that their days are dwindling, for the tempest of justice inexorably advances towards their doorsteps.
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida vyombo vya habari za Tanzania vimeripoti malalamiko ya Vyama vya upinzani kuhusu kuengeliwa kwa wagombea wao lakini hakuna chombo kilichothubutu kuhoji wagombea...
1 Reactions
10 Replies
706 Views
Watanganyika wenzangu Sasa hivi kuna malalamiko kuwa wagombea wengi wa CHADEMA na wa vile vyama vya CCM B wameenguliwa kugombea. Katika kurafuta ufumbuzi baadhi wanashauri CHADENA na hivyo vyana...
0 Reactions
2 Replies
546 Views
Sijawahi kuona umuhimu wa nafasi za wanyeviti wa wa serikali za mitaa katika mabadiliko au maendeleo ya nchi, kikubwa ninachokifahamu kama sehemu ya majukumu yao ni kugongea mihuri watu tu...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Hawa nao walikuwa na kila kitu, Na walikuwa napigiwa Saluti kama mnavyopigiwa nyinyi. Hii Dunia ya Mungu ni yetu sote jamani, ikanyageni hii Ardhi Taratibu.
33 Reactions
114 Replies
5K Views
Kati mwezi Mei na August 2024 Mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima alipita kwenye matawi na mashina ya CCM katika jimbo la Kawe. Alifanya mikutano ya kuhamaasisha uchangiaji wa ukarabati wa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Nimekua nikifuatilia taarifa mbalimbali za uchaguzi wa Serikali za mitaa tangu uandikishwaji wa wapiga kura hadi kufikia sasa wakati wa wagombea kuteuliwa. 1. Wakati wa uandikishaji yalikuwepo...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Uongozi kiroho ni baraka unapofanya hira kuiba BARAKA ya MTU hutabaki salama,
3 Reactions
5 Replies
518 Views
Kwa upendeleo unaona onekana Sasa kwa chama Cha CCM na ubaguzi dhidi ya vyama vya upinzani, hasa kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa nashauri ya kwamba ni muda Sasa watanzania waulizwe Kama...
3 Reactions
16 Replies
811 Views
Uwezekano wa kuving'oa vyama vya siasa kongwe barani afrika unaendelea vyema, ni zamu ya hapa kwetu, muhimu mtawala akubali kushindwa na akabidhi kwa amani madaraka. Aliesoma ndio aliekusudiwa...
9 Reactions
76 Replies
3K Views
Jina la Jakaya Kikwete limeitwa mambo machache sana ninachokumbuka ni taasisi ya kibingwa ya moyo JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE. Nyerere ndio anaongoza jina lake kuitwa maeneo mengi MAGUFULI...
4 Reactions
13 Replies
830 Views
Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
11 Reactions
50 Replies
5K Views
Chadema iingize wanachama wake ccm. Wanachama maarufu watangaze kuachana na chadema, kisha wapokelewe kwa shangwe na nderemo huko ccm. Wasiokuwa maarufu mamia kwa maelfu, wachukue kadi za ccm...
7 Reactions
5 Replies
541 Views
Wasalaam. Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka...
0 Reactions
18 Replies
772 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…