MBUNGE NDAISABA RUHORO AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI KATA YA MABAWE, NGARA
MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO Mbunge wa Jimbo la Ngara amehudhuria Mkutano wa hadhara Kata ya Mabawe ulioandaliwa na...
Mtu anayeamini kuwa CCM bado ni chama halisi anajidanganya. Kwa sasa, ni genge la watu wanaoendekeza udhalimu, kusifia na kutetea uovu. Chama kimeshikiliwa na watu wanaotenda uovu bila kujali...
Waziri Bashe amesema alikuwa akikutana mara kwa mara na Lawrence Mafuru iwe Ofisini au nyumbani kwake kwa lengo la Kupata maarifa mbalimbali ya kukuza Kilimo ikiwemo BBT na mikakati mingine
Bashe...
Wakuu,
Kumbe nchi ina uhaba wa sarafu za Shilingi na hatuambiwi?
Siku ya Leo akiwa msibani kwa Lawrence Mafuru Rais Samia alikumbushia amekumbushia kipindi ambacho kulikuwa na uhaba wa Shilingi...
Wakuu,
Kama mnavyokumbuka wakuu tukio la Deo Bonge lilitrend mtandaoni majuzi, huku tukio hilo likiwa limetoka Novemba 11, kama ambavyo taarifa ya polisi ilieleza.
Ayo TV walikwenda chap kwa...
Kwenye msiba wa mafuru alisikika samia akimsifia mafuru alsaidia kupungua kwa uhaba wa dollar swali kivip kwa sababu anaye-control supply ya dollar ni u.s federal reserve sasa mafuru anahusikaje...
Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania
Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela...
Suala la mikopo ya chap chap yenye riba kubwa maarufu 'kausha damu' limejitokeza katika mkutano wa hadhara wa Katibu wa NEC, Itikadi, Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda...
Hawa wakaskazini wanaomshambulia Tundu Antipas Lisu wajiangalie wasije kusababisha Freeman Mbowe anaonekana ni Mkabila kama ilivyokuwa kwa Gachagua
Mbowe kama alivyo Gachagua ni Mtu wa Mlima...
Nauliza tu maana hata yule Queen tuliona Jeneza tu Bila kujua kilichomo na hata mazishi ilidaiwa ni Siri ya royal family
Hapa nyumbani pia kuna Watu walidai Gavana mstaafu yuko US anadunda licha...
Kupitia dini hizi mbili nyemelezi yaani uislamu na ukiristo:
1. Waafrika waliuzwa utumwani kwa ushirikiano wa waarabu na wazungu.
2. Afrika ilitawaliwa kikoloni,
3. Majina na mila za kiafrika...
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani.
Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
Hatua ya Kihistoria kwa Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan anakwenda kuandika historia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20. Huu ni ushindi mkubwa unaoonesha...
The recent report regarding the incredible legal claim figures in the Oryx/Oilcom arbitration case has raised significant questions. According to an article in The Citizen, the final award issued...
Kesi anazosimamia Wakili Msomi Kibatala kwa asilimia 95 zinapata ushindi. Mara nyingi Wakili huyu anasimamia kesi za wapinzani lakini anapata ushindi. Kwa kuwa Tanzania tuko wamoja na nchi ni...
Uongozi wa chama hiki ambacho wengi wanadai wanakiamini kila mtu mbabe, hapo ndio watanzania wajue aina ya watu wanaotaka kupewa uongozi wa nchi, Tundu Lissu ni makamu wa mwenyekiti chadema...
Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi.
Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amewaonya Viongozi wazembe ndani ya Chama chake
Lissu amewaomba Viongozi wa Chadema DSM suala la kuvumilia Viongozi wanaopewa rushwa na CCM Ili...