Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi. Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Usipange kukosa kumsikiliza Jasiri Tundu Lissu Mlale unono 😀
1 Reactions
21 Replies
920 Views
Mbowe ni kiongozi mzuri kuliko viongozi wote wa vyama vyote hapa Tanzania huo ndiyo ukweli. Hii ni kwasababu ya uzoefu wake kwenye biashara. Hivyo tusije kijidanganya kwamba CHADEMA inaweza kupata...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Tundu Lissu, wewe kwa sasa ndio tishio kubwa sana kwa watu wa chama fulani na mgombea wao mtatajiwa wa uchaguzi mkuu wa mwakani. Hivyo, nakushauri uwe makini sana katika mienendo yake yote kwani...
18 Reactions
29 Replies
2K Views
Haya maajabu au dharau kwa watanzania? Kwamba baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wanasema Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao lakini hao hao wanasema anafaa(alifaa mwaka 2020) kuongoza nchi nzima...
1 Reactions
2 Replies
309 Views
Kinachondelea ndani ya Chadema ni mbinu ya kukifanya chama chao kisemwe na kusikika katika jamii na nyanja za kisiasa. Hii ni mbinu iliyopitwa na muda yaani kutengeneza drama ili msikike na...
1 Reactions
3 Replies
235 Views
Huenda Kuna watu wanahisi kuwa Mwenyekiti wa chama pinzani chenye nguvu Afrika ni lelemama, la hasha ni vita hasa tena ni uhaini mkubwa kwa watawala Hawa ambao hawapendi kukosolewa. Tundu Lissu...
1 Reactions
18 Replies
762 Views
UMOFIA wana Jukwaa! Kumekuwa na malumbano ambayo yamegeuka" symbolize high level of ignorance" kuwa Ujuha. I expected as a strong political party to bring cream people to its members without...
0 Reactions
2 Replies
421 Views
Nilikuwa mmoja wa Watu nilioamini Makamanda wa Chadema Wana uwezo mkubwa hasa kutokana na Vikao vyetu na Halima Mdee alipokuwa mbunge wangu wa Kawe kadhalika Peter Msigwa alipokuwa mbunge wa...
0 Reactions
5 Replies
530 Views
Wananchi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti, jijini Arusha wamefunga barabara ya kuelekea Intel kwa zaidi ya saa tatu siku ya Jumatatu Desemba 16, 2024, wakishinikiza serikali kutengeneza...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwahiyo hapo Chadema mmejaa Magubeli watupu mlioshindikana so hamtaki Damu Mpya Uongozini Nimecheka sana aiseee 🤣 hakika sumu haionjwi Ukurasani X
4 Reactions
50 Replies
1K Views
Habari za ndani ya kambi ya Lissu ni kwamba ameandaa orodha ya watu ambao yeye anawaita chawa wa Mwenyekiti, na kwamba amejiapiza kuwafuta kazi pale makao makuu. Tetesi zinasema sababu kubwa ni...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni; Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Mh. Mbowe...
3 Reactions
9 Replies
627 Views
Wakuu, Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo. Katika...
36 Reactions
348 Replies
24K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama "Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya...
3 Reactions
60 Replies
4K Views
Video fupi Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
9 Reactions
88 Replies
4K Views
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amesema isingekuwa katiba ipo “tight” kidogo, basi angetamani kuona Rais Magufuli akiongeza miaka mingine mitano baada ya muda wake kuisha. "Ni kwakuwa tu katiba...
19 Reactions
325 Replies
34K Views
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde Dkt. Steven Kimondo, ameeleza kusikitishwa kwake na mwenendo wa uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji...
1 Reactions
1 Replies
388 Views
Wakuu Kwa hali inavyoendelea Sasa naona yanaenda kutokea Yale yaliyotokea katika uchaguzi wa mwenyekiti Kanda ya nyasa baada ya mchuano mkali wa hoja na msigwa kupigwa chini akajiunga chama dola...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amezungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2024. Akijibu swali kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kutoa tuhuma za...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…