Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Asubuhi ya Leo nimewiwa kuwaachieni Neno hili Kutoka katika Injili kama alivyoandika Mathayo Mtakatifu mwenyewe akimnukuu Yesu Kristo alipowaketisha na kuwaambia " Nitampiga Mchungaji na kondoo wa...
1 Reactions
1 Replies
272 Views
Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa . Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
1 Reactions
1 Replies
360 Views
Chadema Imebakisha Mwezi mmoja tu kufa au kupona. Kumpa uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao.
3 Reactions
10 Replies
590 Views
Kanda ya Pwani-Boniphace Jackob atasimamia shughuli ya kumshona Lissu bila ganzi. Kanda ya Nyasa-Sugu, the bilionea, atamng'oa Lissu jino bila ganzi. Kwa kujipanga na wajumbe wake. Kaskazini...
2 Reactions
4 Replies
625 Views
Baada ya Lissu kutangaza nia yake ya kugombea Uenyekiti wa wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendelleo (CHADEMA), mitandaoni kulichafuka na kunaendelea kuchafuka kwa maoni ya watu fulani...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Tutateka, kutekwa, na kutekana hadi lini Na Nkwazi Mhango Fyatu Mfyatuzi Japo kadhi hii inaonekana kuzoeleka kama siyo kukubalika, fyatu sikubaliani na jinai hii. Siku hizi, katika kaya yetu...
1 Reactions
3 Replies
595 Views
Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia. Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe...
1 Reactions
3 Replies
262 Views
Ukiangalia kwa jicho la ndani utaona kuna mawazo kinzani juu ya hili swala la utekaji. Serikali inasema hilo jambo halipo na watu wanajifanyisha tu maigizo ila utekaji haupo. Rejea kauli ya Rais...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
AHSANTE RAIS SAMIA Huyu ni Hadija Shaban Omar, mama mwenye watoto mapacha walioungana kifua, tumbo na nyonga wenye umri wa miaka Mitatu anapenda kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
565 Views
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chadema mh Adolf Mkono amesema Mbowe amezungukwa na kakikundi ka watu Wachache wanaodai Wao ndio Wenye Chama na wengine ni WAPAGAZI tu Mkono amesema watamchagua Tundu Lisu...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, akizungumza na wanahabari siku ya Alhamisi Desemba 12, 2024, Mlimani City, Dar es Salaam, ameeleza azma yake ya...
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Tangu Lisu atangaze nia ya kugombea nafasi ya uwenyekiti ndani ya CHADEMA chama tawala hakina amani kabisa. WanaCCM wanaona bora Mbowe aendelee kuongoza chama. Maswali ya kujiuliza. Kwanini...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi. Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016. Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium...
10 Reactions
93 Replies
6K Views
Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lakini kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa Madiwani, Wabunge na Rais. Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa. Mungu...
1 Reactions
10 Replies
579 Views
Kutokana na Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama Taifa, CCM wamejawa na hofu kuu. Hofu yao ni kwamba, Je, Tundu Lissu akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...
2 Reactions
1 Replies
373 Views
WIZARA YA MAJI YANUFAIKA NA ZIARA YA RAIS SAMIA KOREA Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema ziara iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Korea Kusini imetengeneza mahusiano mazuri na...
0 Reactions
6 Replies
482 Views
Wakuu amani ya Bwana ikiwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Andiko hili litakua fupi sana. Hesabu huwa haidanganyi , Kumekua na propaganda nyingi za kusifia mikutano ya mwenyekiti wa ccm...
48 Reactions
81 Replies
5K Views
Jarida la Forbes Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes. Ushawishi wake katika masuala...
1 Reactions
9 Replies
729 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…