Naona Mwenyekiti anaendeleza janja janja za wakati wote
Kuna aibu gani kusema nitagombea wakati kila mtu anafahamu hao Viongozi ni wewe umewaita tena kwa lazima na kwa gharama zako!!
TUNDU...
Hii imetokea leo Kaloleni,Arusha ambapo Hawa vijana wa Chadema wamepokewa na viongozi wa CCM.
Wamesema Mbowe ni kiongozi feki,na Lissu ni kiongozi feki na Godbless Lema ni kiongozi feki ambaye...
Igwe wanaJF
Kutokana na fukuto ndani ya Chadema tumeshuhidia minyukano mikali huku wengine wakimtaka Mbowe aondoke maadarakani eti kwa sabbabu hana jipya.
Ili kuweka kumbukumbu sawa nimeona ni...
Amani kwenu wana jukwaa
Toka lissu atangaze kugombea uenyekiti wa chama taifa nimewaona wana CCM wakimsusa na kumsahau kabisa kumpigia makofi na mapambio mwenyekiti wao Samia
Badala yake nguvu...
Hayo ndio yanayojili huko Chadema baada ya Tundu Lisu kumkejeli Mwenyekiti wake Kwa kusema eti aliyetuaminisha kwenye mapendano yao amekamatwa,hii iwe fundisho 🤣🤣🤣.👇👇
Pia soma
LGE2024 - Lissu...
Naunga mkono hoja,Lisu amekuwa na tabia ya kumsema mtu badala ya kunadi sera zake.
Yaani Kampeni ya Lisu inalenga kumchafua Mbowe na kudharau mchango wake Kwa maslahi ya uroho wa madaraka.
Bwana...
Sina hakika sana ikiwa Tundu Lisu atashinda kuwa Mwenyekiti wa Chadema hapo Mwakani kama Chama kinaendelea zaidi au kitarudi kuwa chama Cha wanaharakati na omba omba ikizingatiwa Lisu na Wafuasi...
Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Freeman Mbowe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi ya CHADEMA wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Jumapili Desemba...
Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali...
Kumekucha huko!
Bwana mkubwa Mbowe amedai kwamba familia yake imechoshwa na mambo yanayomkuta mzee wao sasa wamtaka apumzike na siasa na akafanye mambo mengine.
Hoooo! Sio mbinu ya kinamna ya...
Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha.
Lissu anazurura peke yake...
Niendelee kutanguliza Msimamo wangu kuwa mimi pia ni Shabiki wa Lissu nakubali akili kubwa aliyobarikiwa,uwezo wa kujenga na kupangua hoja, Uwezo wa kusimamia anachokiamini hadi mwisho, Ujasiri...
Wakuuuu,
Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu.
Pia soma: Kuelekea 2025...
Kumbe ndugu zetu wa Chadema uchaguzi kwao ni Vita
Nimeogopa sana 🐼
===============
Lakini nataka wote mtambue sihitaji kwenda kwenye vita yoyote ambayo itakipasua chama hiki ila nahitaji kwenda...
Najiuliza hawa wafuasi wakereketwa wa Mh Mbowe, mwenyekiti wa kudumu CHADEMA Taifa,
Hawa watu waliojitokeza kwa wingi na bodaboda si chini ya 50 ile aiku mbowe anaitisha maamdamano mbona...
Hello!
Natumai mu wazima!
Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao...
Wakuu,
Nilidhani mambo ya uchawa yako CCM tu, kumbe hadi CHADEMA machawa wamejaa kibao na leo kwenye huu mkutano wao ndo nimeweza kuwa
==============================================...