Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Igwe wanaJF
Kutokana na fukuto ndani ya Chadema tumeshuhidia minyukano mikali huku wengine wakimtaka Mbowe aondoke maadarakani eti kwa sabbabu hana jipya.
Ili kuweka kumbukumbu sawa nimeona ni bora niwaelimishe wafuasi wa Chadema kuwa ni ngumu kumuondoa Mbowe ikiwa ruzuku inaingia kwenye akaunti za Chadema yaani "palipo na hazina ya Chadema ndipo moyo wa mwenyekiti ulipo "
Nini kifanyike?
Kutokana na uwepo wa katiba mbovu yenye udikteta ya Chadema inayozuia mwanachama kuhoji au kupinga lolote mahakamani.
Uandaaliwe utaratibu wa kumshawishi Mbowe aachie uenyekiti lakini abaki kuwa mtia sahihi kwa makubaliano maalum na ikiwezekana asihojiwe kuhusu mapato na matumizi hadi 2020. Mbinu hii itatoa fursa kwa Chadema asili kushika hatamu na kukirudisha chama katika ajenda yake ya msingi "maslahi ya taifa na uzalendo " .
Lazima mkubali kuanza moja, kufanya kazi kwa kujitolea na michango ya wazalendo.