Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara nyingi Wanasiasa huangalia Mwisho Kwa kuanzia Mwanzo na hapo ndipo huwa wanakosea sana Manabii huungalia Mwanzo kuanzia Mwisho Kwa mfano CCM inaona Mbowe ni mwepesi ukiangalia Siasa za...
1 Reactions
4 Replies
296 Views
Mbowe leo amemshangaza karibia kila mtu mwenye uwezo wa kutafakari. Mbowe ametumia muda mrefu sana kusifia mafanikio yaliyotokana na mwafaka uliofanywa kati yake na Rais Samia. Hakuthubutu...
4 Reactions
8 Replies
500 Views
Ukikabidhiwa Mamlaka kamili kama Mwenyekiti wa CHADEMA rudisha Ile misingi ya kudai Haki. Sio kuomba Haki kama alivyofanya mtangulizi wako. NB: Mwenyekiti aliyepo kila mara analia Lia kama Kada...
5 Reactions
12 Replies
705 Views
Kwa vile CCM huwa wanaiba agenda za CDM basi ningeshauri na hili la kuondoa ukomo wa madaraka walipeleke bungeni. Kwa vile Wabunge wanawakilisha wananchi kisha waamue kama ukomo uendelee au...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Dalili ziko wasi kwamba TLS sasa imemshinda Mwabukusi. Kuna mpasuko mkubwa na viongozi wenzake wameanza kumkimbia. Ukimuona Mwabukusi anavyowananga wengine, unaweza kudhani anaweza hata...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
KWAHERI KWA HERI NDUGU LISSU Lissu, mwana wa siasa mashuhuri kweli, Aliyejaa uthubutu, mwepesi wa maneno, Kwa haki ulisimama, sauti ya wanyonge, Leo tunakuaga, moyo mzito na huzuni. CHADEMA...
4 Reactions
15 Replies
897 Views
Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi. Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa...
14 Reactions
149 Replies
8K Views
Ndugu wana bodi. Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa...
14 Reactions
364 Replies
37K Views
Kuna viashiria vingi vya chama chenye nguvu na wafuasi wengi. Mojawapo ya viashiria hivyo ni wingi wa watu wanaojitokeza wakati chama hicho kikifanya michakato yake ya ndani kama vile uchaguzi...
1 Reactions
1 Replies
562 Views
Kwa yanayotokea CDM hakika zitto anaijua SIASA na demokrasia sintoshangaa kama siku moja kitengo kitaamua kumpa nchi maana ameonyesha ni mwana demokrasia sana Note: Ni mstaafu wa Chama chake Cha...
4 Reactions
14 Replies
742 Views
CHADEMA na CCM niliwaambia ni chama kimoja. Hata huyu mnayemuita Lissu ni tajiri mkubwa tu Ila yeye alichofanikiwa ni Ku-play low key na kuendana na watu wanaoitwa wanyonge, hii mbinu pia alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo. Mchungaji...
3 Reactions
75 Replies
4K Views
Nimemsikiliza Mbowe kauli zake ktk hotuba aliyo itoa nafikiri sio yeye aliye iandika ametumika kama spika.Navyo mfahamu huko nyuma kariba yake jana nimewaza tofauti kabisa na nilivyo muheshimu...
1 Reactions
1 Replies
375 Views
*MBOWE ATOBOA MTUMBWI, UTANGULIZI Hatimaye ile habari iliyosubiriwa kwa kiu kubwa, imefikia tamati leo kwa Mwenyekiti Mbowe kutanganza kugombea Uenyekiti Chadema Taifa. Hii ni baada ya Lissu...
1 Reactions
4 Replies
433 Views
Wakuu, Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025! Hayo yamejiri...
0 Reactions
7 Replies
832 Views
Ni raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi...
5 Reactions
17 Replies
561 Views
Habari JF ,Arusha kumenoga , kuanzia tar 28/12/2024 kutakuwa Churchill show kutakuwa na mtaa wa Bia na zitauzwa kwa bei rahisi , kutakuwa na mtaa wa Nyama Choma . Tar 31 ni mkesha mkubwa ...
9 Reactions
78 Replies
3K Views
Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed. Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee. Hata Masheikh na Maaskofu ili...
7 Reactions
10 Replies
956 Views
Makamu Lissu amechafua kila mtu https://www.youtube.com/watch?v=K41w3m6jjT4
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana...
4 Reactions
202 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…