Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SIdhani Kama Dr Samia Suluhu Hassani anaweza kuzuia Haki ya Wanawake Wenzako Kugombea Nafasi ya Kuwania Urais ndani ya Chama chake. Ktk hili tuombe women empowerment iwe kwa vitendo na isiishie...
1 Reactions
16 Replies
898 Views
Mbowe anasemwa kwa maneno yote, kutoka kuheshimika kwa wasomi na wasio wasomi, sasa anadharaulika mpaka kwa wanafunzi wa primary school huko Si muige hata kwa wachaza mpira? Mchaza mpira ikifika...
2 Reactions
4 Replies
425 Views
Fuatilieni BBC Swahili mambo ni moto Ahsanteni sana 😄
1 Reactions
6 Replies
589 Views
Ndugu zangu Watanzania, Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake...
4 Reactions
80 Replies
3K Views
Tukisema kiongozi anapimwa kea perfomance na sio blabla muwe mnatuelewa. Toka uchaguzi wa vyama vingi 1995, na Tundu Lissu kujiunga CHADEMA kama mwanachama Muandamizi, takribani miaka 30 sasa...
3 Reactions
71 Replies
2K Views
Maandamano ya DP World - Bandari yalishika kasi zaidi Mbeya, Kesi ilifunguliwa Mahakama ya Mbeya 2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi...
0 Reactions
3 Replies
484 Views
Huyu Mzee analipeleka wapi Chama yani kutoka kuzungukwa na akina Prof Baregu, Prof Safar, Dr Mkumbo, Ntagazwa, Arfi, Dr Slaa, Lissu, Heche, Lema, Msigwa, Mdee na leo kuzungukwa na Ntobi, MMM, Sugu...
2 Reactions
14 Replies
769 Views
Kwa mtazamo wangu, hili ndio tatizo la msingi la huyu bwana kutaka kuendelea kukakilia hicho kiti. Nina wasiwasi kuwa alishakula hela za watu kwa shariti hilo na sasa asipogombea atakuwa ameenda...
1 Reactions
8 Replies
574 Views
Mbunge wa Arumeru Magharibi Noah Lembris amezomewa msibani na wananchi sababu ubovu wa barabara za jimboni kwake kisema si mbunge amesababisha barabara hizo kuwa mbovu. Hata hivyo mbunge huyo...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni Wiki ya 3 Sasa Uchaguzi wa Chadema umefunika Media zote hata shamra shamra za sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar hazisikiki sana Baada ya Yesu Kufa Msalabani yule Akida akajipigapiga kifua na...
2 Reactions
19 Replies
746 Views
Ndugu wanajamvi, Tumesikia kuhusu kitabu kipya cha Erick Kabendera kinachoitwa "In the Name of the President: The Memoirs of a Jailed Journalist". Kabendera amefunguka kwa kina juu ya utawala wa...
20 Reactions
241 Replies
14K Views
Mwalimu wa Historia alitumbua kuwa chanzo kimojawapo cha udumavu wa bara la Afrika kimaendeleo ni ukoloni wa Kimagharibi! Lakini pia alitufundisha kuwa Ethiopia haikutawaliwa na Wazungu. Labda...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
https://youtu.be/WhlUbdvI5CA?si=6EYlRBSl4ZN0QnT5 Akihojiwa na SAUT DIGITAL, Mwanasiasa na mwanachama mwaminifu wa CHADEMA, jirani yake Tundu Lissu huko wanakoishi kwa takribani miaka 21 Mzee...
15 Reactions
38 Replies
1K Views
Ndugu Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema, ndiye kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa chama hicho. Kama ilivyoada kwa kiongozi yeye ndiye kama baba wa familia, ana wajibu wa kujali usitawi wa makada...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Tundu Lisu amesema akiwa Mwenyekiti wa chadema hakutakuwa na Maridhiano wala kualikana kwenye Vikao visivyojulikana Lisu amesema Uongozi wake utakuwa ni wa mshikemshike wa kudai haki tu Lisu...
3 Reactions
5 Replies
459 Views
Kumbe tumefika hatua ya Viongozi wakuu wa Chadema kwenda kupatanishwa Nje ya Mifumo ya Chama 🐼 Kiukweli Hali ni Tete Sana Kwani Makamu mwenyekiti kabla ya Lisu alikuwa ni nani? Au Mzee Mabere...
4 Reactions
80 Replies
4K Views
Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually) Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer...
106 Reactions
514 Replies
34K Views
Chama Cha Wananchi CUF jana kupitia Baraza Kuu la Uongozi lilimchagua Bi. Husna Abdallah kuwa katibu mkuu wa chama hicho. Hivyo katika medani za siasa hapa Tanzania, Bibi Husna anakuwa ndio...
0 Reactions
10 Replies
789 Views
Akizungumzia hali ya uungwaji mkono na Wananchi baada ya kuwasusia maandamano ambayo yamekuwa yakiitishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. "Watu wameenda wapi?, mwaka 2011 (Arusha)...
1 Reactions
5 Replies
662 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…