Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Florens Martin Turuka, Katibu Mkuu Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)...
Sipati Picha Tundu lisu akiwa Mwenyekiti wa Chadema namna watakavyotunishiana msuli na Wassira
Wassira ni muumini wa Serikali mbili kuelekea Moja
Tundu lisu ni muumini wa Serikali tatu
Ila...
Nadhani umetambua makosa yako ya kumsingizia mambo mabaya Mbowe ua UONGO leo unasema utalinda heshima yake. Utalinda heshima gani aliyobakiza? Umemchafua makusudi , guility consciousness...
Polisi wa usalama barabarani Kitengo cha pikipiki (escort) wamevalishwa sare za CCM wakiwa sambamba na msafara wa Samia.
Vilevile, pikipiki za Polisi nazo zimenakishiwa kwa rangi za CCM.
Pia...
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kusema kuwa Nchi nzima ni kijani kwa sasa,kila eneo ni kijani na njano tu.kila ukifungua vyombo vya habari unaona kijani na njano ndio vimetawala na...
Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukari, Mafuta na hata nguo.
Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta...
Mitandaoni watu wote wanaonekana kutokukubaliana na Mzee Wasira 80yrs kuendelea kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Its like siyo maono ya wana CCM kuwa na viongozi hawa tena kwenye...
Wakuu,
Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia...
Kama Freeman Aikael Mbowe akishinda au Tundu Antipas Lissu akishinda, unadhani kitatokea nini kwenye mtizamo na msimamo wa CHADEMA juu ya mambo haya yafuatayo;
1. Marekebisho ya Katiba ya...
Pamoja na CCM kuwa chama dhaifu kinachotegemea dola na uhalifu kufanya siasa zake, lakini tena bado CHADEMA imekipasua chama hicho kati kwa kati.
Mwaka 1995 wakati NCCR - Mageuzi kilipokuwa...
Wasira au Lwaitama ni watu ambao hawana tamaa kutokana na umri wao. Wana hekima, tofauti na Lissu ambaye muda mwingi anazurura akitukana kila mtu barabarani.
Hongera CCM
Alianza Lisu kuchukua fomu na kutoa hoja zake ni nini atakifanyia chama endapo atachaguliwa , Mbowe katoka hadharani na kudai kuwa Lissu anamtukana.
Amekuja John Heche , pamoja na kueleza mbele...
Huu ni mtazamo wangu binafsi wa mtu anayefaa kupokea kijiti Cha Komredi Kinana kama makamu mwenyekiti mpya wa CCM Taifa.
Kwanza, CCM inahitaji Mzee wa mafaili kama alivyokuwa Mzee Mangula. Kwa...
Baada ya kumsikiliza Tundu Lisu Kwenye Mdahalo wa jana nimejiridhisha Lisu ni Chaguo la Mungu
Katikati ya upinzani mkali Kutoka Kwa Mbowe na Wapambe wake Lisu anamtetea Freeman Kwenye mambo...
Mahinyila, ambaye ni muumini na mfuasi wa Sera za Lissu, ameshinda na kutangazwa ndiye Mwenyekiti wa Bavicha Taifa.
Wakati wa kutangazwa Kwake, mamia ya Wana Bavicha wameinuka na kuimba kwa...
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM...
Wakuu,
Tumeona CCM walivuohangaika na mkutano wao kuhakikisha unafana na kuwa talk of the town lakini bado kumedorora utafikiri hawajabeba wasanii wote Tanzania mpaka Kongo :BearLaugh...
Godbless Lema wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa...
Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha.
Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu...