Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge Lusinde atangazwe shujaa Afrika kama kijana mtaka mabadiliko ya wabunge kumpiga chini Waziri Mkuu Malecela mwenye Cv kibao na Pesa Malecela Livingstone Lusinde darasa la saba alimbwaga...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X, "Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya...
21 Reactions
137 Replies
7K Views
Katika kutazama formation ya Chadema, Moja ya udhaifu mkubwa walionao ni kukosa uenezi hasa wa kazi zao za siasa. Hii kurugenzi ilivyo, imekaa zaidi kitechnocrat badala ya kukaa kisiasa zaidi...
0 Reactions
4 Replies
449 Views
Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa. Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo...
4 Reactions
155 Replies
6K Views
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake. Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Balozi wa Mazingira na muhamasishaji Tanzania Michael Msechu amefanya ziara Kupitia Vijana kwenye vijiwe mbalimbali kutoa hamasa juu ya kazi nzuri anayoifanya Mhe Rais Samia
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali. Hakika CHADEMA ilichelewa...
27 Reactions
98 Replies
6K Views
Katika siku chache, Jana tarehe 24.1.2025, wakuu wa wilaya wapya wamepata nafasi ya kuteuliwa, kuongoza wilaya mbali mbali nchini. Hata hivyo, ni muhimu kuchukua hatua za tahadhari ili...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
Nilivyosikia tu, 'wanataka kunidhuru halafu wamsingizie Mhe. Mbowe....'; nikajua kazi hakuna......amekwisha. Aisee kumbe huyu Mbowe ni bonge la Mafia aisee, ukiacha zitto, wengine wote...
2 Reactions
6 Replies
608 Views
Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo...
14 Reactions
114 Replies
5K Views
Tujikumbukushe Mwakyembe alipokua anawapa Ngumbaru wenzetu makavu live kuhusu elimu yake ya PhD bila kupindisha. Dkt. tutakukumbuka daima
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Aisee hili jambo limenishangaza sana. Juzi Boni yai aliandika Tweeter kuwa alipoingia VIP room kutoa matokeo ya kura za nafasi ya mwenyekiti, eti baadhi ya watu waliokuwa na Mbowe VIP room, baada...
1 Reactions
5 Replies
792 Views
Wakuu Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Nimeuliza ili swali nipime utendaji kazi wa Lissu utakuwaje. Pia apart from idadi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama. Je, kamati kuu ina nguvu gani kwenye chama? Naomba nifamishwe maana...
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Nisikilizeni, Faru J ni kaka yenu haijalishi alighafirika vipi. Rasmi na wausia sasa, ni muhimu aheshimiwe na thamani yake apewe. Usalama wa familia yetu ni muhimu kuliko magomvi yetu ya ndani...
1 Reactions
10 Replies
684 Views
Askofu Benson Bagonza anaandika... "Naandika kupongeza. Sina pole za kutoa. Nawapongeza Mwenyekiti (CHADEMA taifa) Tundu Lissu na Makamu wake, mtani wangu John Heche. Hata mimi siamini kama...
14 Reactions
31 Replies
3K Views
Tayari baadhi ya nyumba hizo zilizotumia mabilioni ya pesa zimeanza kukamilika, Asante Mama WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama amewapongeza SUMA...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari ya wakati huu wadau, Nadhani ni wakati mhafaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambna na Rushwa kushughulika na tuhuma zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya wagombea wakati wa uchaguzi wa ndani wa...
-1 Reactions
0 Replies
273 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…