Kuna hoja za msingi zilizoibuliwa na taasisi na watu mbalimbali kwa nyakati mbalimbali kuhusiana na shetia mbaya za uchaguzi na Tume isiyo huru ya uchaguzi.
Tume ya jaji Nyalali mwaka 1991...
NI KWELI KABISA
1. Ni kweli kabisa, Hotuba ya Mh. Rais siku ya Idd ilikuwa na nia njema.
2. Ni kweli kabisa, si wote waliotajwa na Mwanaharakati Huru Musiba, walikuwa wakijibu hotuba hiyo.
3...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amekosoa namna ambavyo serikali imekuwa ikitoa tenda mbalimbali kwa Raia wa nje ya nchi na kuwaacha watanzania bila ajira...
Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025.
Kwanza...
Wakuu,
John Mrema ameendelea kutoa cheche kuhusiana na msimamo wa CHADEMA wa kuzuia Uchaguzi, akisema kuwa agenda ilianza mwaka 2020 January na haikuanza mwaka 2024 kama ambavyo baadhi ya watu...
TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU.
NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO.
Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia...
CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?
Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja...
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira.
Kauli hiyo ameitoa...
Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini...
Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuza diplomasia ya kiuchumi kati ya Tanzania na mataifa...
Bado naendelea kushauri uongozi wa CHADEMA uwafute uanachama hawa matapeli wa kisiasa wanaojiita G55.
Kuendelea kuwasubirisha ni kuwapa airtime isiyoyalazima.
Hawana msaada wowote kwa sasa zaidi...
Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa.
Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk...
Crown Media inapaswa kuchukuliwa hatua kali na Mamlaka kwa kuruhusu watoto wadogo kuhudhuria tamasha la usiku la Utete, Rufiji, kwenye Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru.
Kupitia video hizi Crown...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Jesca David Kishoa, amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kinapinga...
Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 kwaajili ya kuweka mambo sawa ambayo yanapotoshwa mitandaoni kuhusu muelekeo wa chama chao.
Wamesema lengo la kundi lao nikuweka umoja wao pamoja na...
Naona mchomi ameandika ktk x yake yeye ni mbunge wa chadema 2025- 2030 ili hali hajapitishwa hata chama ambacho ndio chenye mamlaka, au kuenguliwa na tume au kushindwa kabisa na ccm.
Bado siwaelewi
Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA.
Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa...
NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali:
1. Nina shughuli yangu sitaki...