Wakuu
=====
hakuna lingine juu ya hii misaada
Wagombea siku hizi wamepata style mpya — wanabeba mabati, cement na hela, wanajifanya wanasaidia kujenga makanisa na misikiti. Ila ukweli ni kwamba...
Salaam!
Jambo lenye maslah mapana ya nchi ni vyema kuliadress hadharani mbele ya umma Ili ujumbe ufike kote.
Hii dhana ya kushauri sirini Kisha ushauri ukapuuzwa, ndio sababu hasa ya viongozi...
Mimi binafsi niliwahi Sema humu, "Rais Azungukwe na Watu wa Dini, Wazee wa Hekima na Busara ".
Ni hatari sana Rais Masikio yake yasikie habari za Uchawi, Waganga, na Mambo ya Hovyo kama hayo...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya(EU), Charles Michel ambapo amemsifu Rais Samia kwa hatua anazochukua kukabiliana na #COVID19.
EU wamesema...
Huyu mtu ametukosea sana, ambapo watanzania wenzake walipomwambia kwamba tunapotaka kwenda kwa huyu mama (Rais Samia), alikataa kabisa na kuwabishia kwa nguvu.
Tunaomba General Mabeyo aombe radhi...
Baada ya Kigaila na Mrema kuhama Chadema, kumeinuka maneno kwamba wamesaliti.
Chadema nzima inaomgozwa na watu waliohama vyama. Kimsingi Lissu alikuwa NCCR, Lemma wakala wa kuwaita wenzake...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Fulgence Massawe ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kujitokeza hadharani na kuwahakikishia wadau kuwa...
Huu ni ushauri tu maana imeandikwa kwenye "ashupaye shingo atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa" inatoka katika Biblia, hasa katika kitabu cha:
Methali 29:1
"Mtu ashupaye shingo baada ya...
Minong’ono ya kuteuliwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi katika Mkutano Mkuu wa Januari 19, 2025 jijini Dodoma, imeendelea kutawala na safari hii...
Kwa mujibu wa Polepole. Ni utaratibu wa CCM. Mimi ni CCM, Rais wangu Mama Samia, miaka kumi imetosha, baada ya Nyerere hakuna aliekaa Ikulu zaidi ya miaka 10
Anaandika Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi
"Katika nyakati za uchaguzi, taifa letu hujaa kelele, ahadi, na vilio bandia vya mashujaa wa kisiasa waliolala wakati wa dhiki, lakini sasa wanajivika...
Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!.
Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na...
Iko kwenye kumbukumbu, Hayati Magufuli alichukua fomu ya ndani ya CCM na kusaka wadhamini kabla ya kuidhinishwa na chama chake. Alipata wadhamini 1,023,911 katika mikoa aliyotafuta na kupata...
Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea...
Mgombea Urais wa Chama cha Siasa cha SAUTI ya UMMA,Tanzania Ndugu Kyara MAJALIWA amesema hitaji la KATIBA MPYA sio la SAU tu bali pia ni hitaji la Chama cha Mapinduzi (CCM)
Mgombea Urais huyo...
Jambo moja sielewi, kwamba watu wengine wanataka mchakato wa kumpata mgombea urais CCM urudiwe ili Samia Suluhu athibitishwe au hata abadilishwe. Sioni sababu,kwa sababu Rais Samia amefanya kazi...