Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa vyombo vya habari kushirikiana na Serikali katika kuelimisha jamii kuhusu historia ya mashujaa nchini. Dkt. Biteko...
0 Reactions
6 Replies
824 Views
Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee. Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa...
2 Reactions
7 Replies
391 Views
Hii nchi yetu inahitaji sana ukombozi wa fikra. Eti kuna vinyozi wa samia,nao wanaomba serikali iwafikirie.
3 Reactions
4 Replies
418 Views
Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma. Na sasa anafanya kwa vitendo. Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu. Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
13 Reactions
38 Replies
1K Views
Wakuu ===== hakuna lingine juu ya hii misaada Wagombea siku hizi wamepata style mpya — wanabeba mabati, cement na hela, wanajifanya wanasaidia kujenga makanisa na misikiti. Ila ukweli ni kwamba...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Salaam! Jambo lenye maslah mapana ya nchi ni vyema kuliadress hadharani mbele ya umma Ili ujumbe ufike kote. Hii dhana ya kushauri sirini Kisha ushauri ukapuuzwa, ndio sababu hasa ya viongozi...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Mimi binafsi niliwahi Sema humu, "Rais Azungukwe na Watu wa Dini, Wazee wa Hekima na Busara ". Ni hatari sana Rais Masikio yake yasikie habari za Uchawi, Waganga, na Mambo ya Hovyo kama hayo...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya(EU), Charles Michel ambapo amemsifu Rais Samia kwa hatua anazochukua kukabiliana na #COVID19. EU wamesema...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
PIGA PICHA NINI MSAJILI ANGEIFANYIA CHADEMA KAMA INGEPITISHA MGOMBEA URAS KWA MWENDOKASI BILA KUTOA FURSA KWA WANACHAMA WENGINE?
3 Reactions
9 Replies
487 Views
Huyu mtu ametukosea sana, ambapo watanzania wenzake walipomwambia kwamba tunapotaka kwenda kwa huyu mama (Rais Samia), alikataa kabisa na kuwabishia kwa nguvu. Tunaomba General Mabeyo aombe radhi...
16 Reactions
180 Replies
9K Views
Wakuu Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Wanabodi tusaidiane kunyambua ujumbe aliouwasilisha Kipanya kupitia katuni hii, umepata chochote au patupu?
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya Kigaila na Mrema kuhama Chadema, kumeinuka maneno kwamba wamesaliti. Chadema nzima inaomgozwa na watu waliohama vyama. Kimsingi Lissu alikuwa NCCR, Lemma wakala wa kuwaita wenzake...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Fulgence Massawe ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kujitokeza hadharani na kuwahakikishia wadau kuwa...
0 Reactions
2 Replies
360 Views
Huu ni ushauri tu maana imeandikwa kwenye "ashupaye shingo atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa" inatoka katika Biblia, hasa katika kitabu cha: Methali 29:1 "Mtu ashupaye shingo baada ya...
1 Reactions
5 Replies
551 Views
Je, Amani haiko kundi la “ na hayo mengine yote mtazidishiwa”? Mlale unono 🙏😄🇹🇿
0 Reactions
5 Replies
215 Views
Minong’ono ya kuteuliwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi katika Mkutano Mkuu wa Januari 19, 2025 jijini Dodoma, imeendelea kutawala na safari hii...
10 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Polepole. Ni utaratibu wa CCM. Mimi ni CCM, Rais wangu Mama Samia, miaka kumi imetosha, baada ya Nyerere hakuna aliekaa Ikulu zaidi ya miaka 10
2 Reactions
2 Replies
335 Views
Anaandika Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi "Katika nyakati za uchaguzi, taifa letu hujaa kelele, ahadi, na vilio bandia vya mashujaa wa kisiasa waliolala wakati wa dhiki, lakini sasa wanajivika...
13 Reactions
54 Replies
2K Views
Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!. Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na...
0 Reactions
12 Replies
617 Views
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na...
0 Reactions
8 Replies
794 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…