Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM? Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
MTU Kama Polepole , Mwanadiplomasia na mwenye uthubutu anatoka katika Chuo bora cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy.
5 Reactions
78 Replies
2K Views
Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Ni kiasi cha uelewa wa jambo, umuhimu wake,sikio la kusikiliza na mwisho kabisa kuchakata jambo lenyewe.
0 Reactions
8 Replies
495 Views
Heche anasema No Reform No Election ilianzia kwa Wananchi wenyewe kitambo kwa kugoma kupiga Kura kwa sababu Washindi halali huwa hawatangazwi Chadema imeanzia pale Wananchi wanaposhikilia...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Rais Samia ameongeza Watumiaji wapya wa intaneti 34milioni Wilaya 40 na Minara 758 kama msingi wa Dira2050 Chini ya Rais Samia Kasi ya usambazaji na Upatikanaji wa Internet yaongezeka maradufu...
1 Reactions
4 Replies
336 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mmewahi kujiuliza ni kwanini Rais Samia akiwa makamu wa Rais Alipangiwa ziara na kuendelea na ziara ndefu Mkoani Tanga mpaka siku anapewa taarifa za kifo cha Hayati Dkt...
6 Reactions
232 Replies
9K Views
Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science. Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Jumapili, 12/2/2017 Rais wa Tanzania wakati huo Dkt. John Magufuli alisema sababu ya kuteua mwanamke katika nafasi ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, kuwa wanawake wengi ni waaminifu katika suala...
15 Reactions
29 Replies
5K Views
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
22 Reactions
67 Replies
5K Views
Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake...
40 Reactions
234 Replies
16K Views
Kushiriki Mchakato wa Uchaguzi kwa Mtanzania yeyote si jambo linaloepukika hasa kwa sababu huu ni msimu na wakati hasa wa uchaguzi, na kusema kweli kila siku ya kila wiki, ya kila mwezi, kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
SASA, KATIKA KILA VIZAZI HAI VYA MIFUGO 100 MIFUGO 12 TU HUFA KUTOKA MIFUGO 27 MWAKA 2020 KUTOKA NA SABABU MBALIMBALI. Rais Samia amepunguza kwa 225% Vifo vya Mifugo vitokanavyo na magonjwa...
2 Reactions
19 Replies
683 Views
Waraka huu ni maalum kwa Lucas Mwashambwa, ambaye amekuwa na tabia ya kusifia sifia pamoja na mambo yenye kuzua taharuki yanayotokea Kila mara na yanawaumiza wale ambao wamekuwa wakipinga na...
15 Reactions
35 Replies
1K Views
TUMECHOKA! Kwa herufi kubwa kabisa. Tumechoka kunyanyaswa, tumechoka kuonewa, tumechoka kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu wenyewe ilhali tunaambiwa tuna Uhuru wa kuishi, kuongea, na kuamua...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Serikali ya Rais Samia imeimarisha mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa kupunguza uingizaji, uzalishaji na usambazaji wa dawa za kulevya kwa kubaini na kudhoofisha mitandao ya wafanyabiashara wa...
4 Reactions
27 Replies
805 Views
SAMIA ASIRUHUSIWE KABISA KUGOMBEA URAIS NA KAMA ANALAZIMISHA, MCHAKATO WA KIKATIBA UANZE WOTE UPYA. Awamu ,Awamu inapatikanaje ? Kwa wa Katiba Awamu inapatikana kupitia UCHAGUZI MKUU, Kwa...
2 Reactions
7 Replies
619 Views
Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA. Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe...
14 Reactions
48 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1977 kuwa Rais aliyepo madarakani akifa basi makamu wake moja kwa moja anakuwa Rais kumalizia ngwe yake. Kwa bahati nzuri hayati Magufuli alikuwa mwanzoni kabisa...
59 Reactions
107 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…