Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea...
Mgombea Urais wa Chama cha Siasa cha SAUTI ya UMMA,Tanzania Ndugu Kyara MAJALIWA amesema hitaji la KATIBA MPYA sio la SAU tu bali pia ni hitaji la Chama cha Mapinduzi (CCM)
Mgombea Urais huyo...
Jambo moja sielewi, kwamba watu wengine wanataka mchakato wa kumpata mgombea urais CCM urudiwe ili Samia Suluhu athibitishwe au hata abadilishwe. Sioni sababu,kwa sababu Rais Samia amefanya kazi...
Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.
ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI...
Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi.
Kilichotokea katika...
Katika vilindi vya ngozi, chini ya vazi la nyama na damu, mwili wa binadamu unakuwa uwanja wa mashindano yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Uwanja huu wa ajabu huvutia wavamizi wa aina moja -...
Hilo naliandika kama Onyo Kuu!!.
Tupo katika Nchi ambayo Kwa Sasa Visasi vimeshika Kasi kwelikweli !!.
Tumeona hapa, wapo walikua wanashauri, ila wakaonekana ni waaasi, wapo walokosoa...
Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa kuwa chachu ya mageuzi sasa...
Akishiriki Ibada ya mazishi ya aliyekuwa katibu wa #CHADEMA wilaya ya Arumeru, Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amesema Tanzania tunahitaji kuona siasa...
Nina Wasiwasi sana Sababu za Kisiasa Dhidi ya KANISA ndio zinaweza kua Nyuma ya TCU kufuta baadhi ya KOZI chuo Kikuu cha SAUT !.
Kwa sababu hizohizo KOZI bado zinaendelea kutolewa kwenye Vyuo...
Anaandika Askofu Benson Bagonza wa KKKT Karagwe, kwenye ukurasa wake wa Facebook.
====
FUNGA MDOMO, KALAMU, ROHO… halafu?
Leo tumeamka na taarifa za kufungiwa kwa baadhi ya waandishi wa habari...
Julai 13, 2025 aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchni Cuba, Humphrey Polepole alitangaa kujiuzulu nafasi hiyo na nafasi nyingine za utumishi umma Jumapili akitaja sababu kadhaa za kufikia uamuzi huo...
WanaJF,
Tunavyoelekea uchaguzi mkuu hebu tujadiliane kwa nini Tanzania hatuna maendeleo.
Hayati baba wa Taifa alisema kuwa ili nchi iendelee inahitani vitu vifuatavyo;
Ardhi
Watu
Siasa safi...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna kitu wapinzani kinawapa homa na kutetemeka miili yao utafikiri sumaku kama wakifikiria kukutana na Rais Samia katika sanduku la kura. Wanamuogopa Sana Rais Samia...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Kazem Gharibabadi, amesema kuwa, ujumbe wa masuala ya kiufundi kutoka Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni watazuru Tehran, lakini hawataruhusiwa...
Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima.
1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni...
Katika siasa, kuna nafasi ya mjadala. Kuna nafasi ya upinzani wa hoja. Na kuna nafasi pia ya kuchochea taharuki isiyo na majibu jambo ambalo linaweza kugharimu maisha ya watu wasiokuwa na hatia...