Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Disclaimer:
Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama...
Wakuu habari nipo kwenye harakati za kubadilisha jina wa Sababu binafsi.
Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k then after nipeleke wizarani nitalipia 32500/=
Sasa Kuna mtu...
Dear all,
My reading and interpretation of Section 40 of the Employment and Labour Relations Act. Cap. 366 R.E. 2019 tells me that it was the intention of the Legislature to make it mandatory for...
Wakuu heshima kwenu.
Habari za jioni, poleni na majukumu (kwa wale wenye majukukumu).
Naomba kufahamishwa KISHERIA kama kichwa cha uzi kimavyojieleza.
Mi hivi, baada ya mgogoro wa ghafla sana...
Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022.
Mwandishi: Zakaria Maseke
(Advocate...
Habari wanajf kwa ujumla. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuanza kutoa maelezo mafupi.
Mashamba ya familia yangu yapo kijiji jirani na mashamba hayo tuliyapata wakati huo tukiwa...
Wakuu habari zenu.
Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio...
Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na hii kitu inayoitwa prenup, ila nimeona nikama ina sound good.
Hivi kwa sheria za bongo hii kitu vipi ninaweza kuifanya au sheria hairuhusu??
Wanasheria...
MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi.
Inaletwa kwako na Nyagawa, J...
MKATABA WA KUPANGA FREMU NAMBA……. BLOCK…………………………….
MANISPAA YA
Mkataba huu umefanyika BAINA ya…………………………………………wa Sanduku la Posta……………………Morogoro ambaye katika mkataba huu ataitwa MWENYE NYUMBA...
-Habari zilizotufikia punde ni kwamba askari wanane (8) wamekamatwa mkoani Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya Muuza magazeti Ali Zona wakati wa maandamano ya Chadema yaliyofanyika mwezi uliopita...
Kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB kama majina ya mama yaliyopo kwenye cheti cha mtoto Cha kuzaliwa ni tofauti na majina yake yaliyopo kwenye kitambulisho chake kuzaliwa ni tofauti na majina...
NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO.
Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya...
Naomba msaada wako wa kisheria
Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja
Ambapo ulianza mwaka jana,
Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu...
1. Utangulizi: Maana ya Star Chamber Courts
Star Chamber Courts zilikuwa ni aina ya mahakama za kifalme zilizokuwepo England kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17. Mahakama hizi zilikuwa na...