Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

A decree in a civil matter dies with the Plaintiff/Decree Holder's death. It cannot be inherited or be put under administration of his/her estate. Tuzo ya Mahakama ktk kesi za madai (za watu...
1 Reactions
5 Replies
590 Views
Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimekuwa nikiskia sana kuhusu baadhi ya watu wakikamatwa na polisi na kupelekwa mahakamani kwa kosa la kutakatisha fedha. Wengine shughuli zao za kuwaingizia pesa ni za kawaida...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninapokashifiwa Mimi ninaumia mm pamoja na watu wangu, mke wangu, wanangu, wazazi wangu pamoja na ndugu na jamaa zangu. Kuna wakati baadhi Yao wanatumia sana kuliko hata Mimi niliyekashifiwa na...
0 Reactions
1 Replies
411 Views
JF imebobea wanasheria nguli (excl Pasco anayejibu kwa hisia) katika sheria za jinai na madai. Watuelimishe, jee kama Mahakama imetoa hukumu na order ya kukamata mali za mdaiwa ili kumlipa mdai...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Anaandika Ibrahim Mkamba Inna lillahi wa inna lillahi raj'ughn, Bernard Camillius Membe ametutoka. Taarifa ilipopatikana tu, mara moja maswali yamekuwa mengi endapo sasa mtu aliyemdai hatalipa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
YAH: MWONGOZO (CIRCULAR) YA UTARATIBU WA UHAWILISHAJI WA ARDHI YA KIJIJI KATIKA NGAZI YA KIJIJI Mwongozo huu unakuja kufuatana na muongozo uliotolewa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
3 Reactions
1 Replies
7K Views
Samahani naomba msaada wa kisheria. Kama mkataba wangu umefikia kikomo cha muda niliosaini (mwaka 1) na nikaendelea kufanyakazi kwa muda wa miezi 3 pasipo kupewa (kurenew) mkataba mpya, je bado...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwenye uelewa na hilo anisaidie. Mara nyingi kwenye Labour casea huwa kuna revision and not appeal. See attached case === Katika Mahakama ya Rufaa ya Tanzania huko Tanga, Maombi ya Kiraia Na...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Habari Wakubwa, Nipo mbagala huku, Kuna jamaa ambaye ni jirani yetu, kaamua kufungua bar nyumbani kwake. Tatizo mziki anaopiga, ni kwa sauti kubwa kuanzia saa tatu usiku mpaka kumi na mbili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu alipata kazi sehemu lakini kwenye kigezo cha umri alisema pungufu sasa kuna ukaguzi wa vyeti je inaweza kumletea shida akafukuzwa kazi kutokana na umri kua tofauti aliosema na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za leo ndugu zangu, Ninahitaji msaada wa ushauri na muongozo wa kujitetea ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa na inaaminika kama nimempiga ex wangu ambae na mtoto nae mmoja. Mwanamke...
1 Reactions
3 Replies
528 Views
Habari wakuu, Nina kesi inayohusu masuala ya ndoa. Tumefikia hatima mahalama ya mwanzo pale Stop Center Temeke. Mwenzangu kakata rufaa. Nimeambiwa na Hakimu kujibu hoja za upande wa pili wa...
0 Reactions
8 Replies
773 Views
Habari wadau Nina imani humu kuna wataalamu wa sheria za ardhi. Na pia wapo watu wenye uzoefu na mgogoro wa ardhi kama huu wa baba yangu mdogo. Mwaka 1988 baba yangu mdogo alinunua kiwanja...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Nawasalimu ! Mwaka 2013 nilimpoteza kaka yangu kwa ajali ya pikpiki. Yeye alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mimi kipindi hicho nilikuwa chuo mwaka wa Kwanza. Baada ya mazishi na msiba...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wana Great Thinkers, Natafuta wakili au mwanashetia aliyopo Mbeya. Nina mgogo wa ardhi/shamba ambao ulisikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo na imetolewa hukumu. Sasa nahitaji kukataa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Rafiki angu mmoja wazazi wake wawili wamefaliki yeye ndo mtoto wa kwanza wa kiume lakini pia ni mtoto wa kambo yani mama ake aliolewa na mwanaume mwingine baada ya kuachana na baba ake mzazi mama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya...
0 Reactions
7 Replies
874 Views
Naomba nimkumbushe Jaji Mkuu Ibrahim Juma kuwa kuna hitaji kubwa la hard copies za Tanzania Law Reports. Ni kitu hakiingii akilini kuwa for decades now hakuna hivyo vitabu.
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Habari? Law sio field yangu lakini kwenye kozi yangu nasoma Business law. Kuna vitu nahitaji kuvijua vizuri/zaidi kuhusu law of contract, pia naomba atakae amua kunielewesha atoe mifano nadhani...
9 Reactions
123 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…