Msaada wa sheria kuhusu kelele kwenye makazi ya watu

The Giant

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
504
96
Habari Wakubwa,

Nipo mbagala huku,
Kuna jamaa ambaye ni jirani yetu, kaamua kufungua bar nyumbani kwake.
Tatizo mziki anaopiga, ni kwa sauti kubwa kuanzia saa tatu usiku mpaka kumi na mbili asubuhi.
Hizi kelele zinanifanya napata usingizi kwa shida, hata muda mwingine nikishtuka usiku wa manane ni ngumu kupata tena usingizi.

Nataka niende kwa mtendaji nkaripoti kuhusu hii kitu, ila kabla ya hapo kuna uwezekano wa huyu jamaa wakamkataza kupiga mziki?
Na sheria inasemaje hapo?
 
Kaburi hili la mda mrefu sana 2017 aseee duuh kitu kinafanyiwa kazi 2023 Noma na Nusu
 
me nataka kujua kama sio bar ni nyumba ya kuishi iloyo jirani yako mtu akipiga mziki mkubwa usiku wa manane sheria inasemaje mana wengine ukiwaambia wapunguze wanakujia juu
 
Back
Top Bottom