Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Dar es Salaam. Hatima ya wakili wa kujitegemea, Fatma Karume kufanya kazi ya uwakili Tanzania Bara bado iko njiapanda baada ya Mahakama ya Rufani kutupilia mbali shauri lake la kupinga...
1 Reactions
0 Replies
844 Views
Sheria inasemaje kuhusu mtumishi ambaye ni mwalimu mkuu kutembea na mke wa mtu mwalimu wanafanyakazi shule moja
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habarini wakuu! Nimeleta suala hili kwenu wataalamu wa sheria ili mnisaidie. Nafanya kazi kampuni fulani ambayo baada ya tamko la serikali kuhusu kuongezewa mishahara kwa sekta binafsi, kampuni...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana. Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke? Matumizi yote ya...
1 Reactions
101 Replies
5K Views
Heshima kwenu wanasheria. Ninapanga kwenda kupima DNA first born wangu sababu kadri anavyokuwa mkubwa ndo anaonyesha kabisa si mwanangu maana hafanani na mimi wala mama yake, pia hafanani hata na...
6 Reactions
42 Replies
6K Views
UTETEZI WA KIJINAI DEFENSES IN CRIMINAL CASES. Karibu tujifunze namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi husika kwa kusoma makala hii. Imeadaliwa na Mr. George...
9 Reactions
8 Replies
10K Views
Wakuu kwema? Kuanzia mwaka 2012 nilikua nanunua mashamba nje ya mji kidogo kidogo kwa mzee mmoja huko mkoani kwa jumla ya Tsh M3. Mwaka 2017 watu wote wenye maeneo huko tukaitwa kistaarabu...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Nikiwa kama mtumishi wa umma nilikopa NMB bank lakini kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nikafukuzwa kazi, hivyo marejesho bank mwajiri akawa hapeleki. Baada ya miezi nane kutokana na...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Tofauti kati ya Dual na Second Citizen Mtu anaweza kuwa na uraia wa nchi tofauti mbili (dual au Second Citizen) au hata zaidi ya hapo kama nchi ambazo ana uraia zinaruhusu mtu kuwa na uraia zaidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani habari zenu humu ndani. Mimi niko kwenye mausiano na baba mmoja na nina muda naye mrefu tu. Tulikubaliana tusizae ni kuhook up tu pekee, jana tulikutana na alininyanyasa I can say so coz...
15 Reactions
85 Replies
4K Views
Habari za humu jukwaani wakuu Niende mojakwamoja katika mada ipo hivi Mimi ni mtumishi wa serikali ,ilikuwa mwaka 2021 mwezi wa tatu nilihitaji kwenda kukopa katika bank Y bas nikipigiwa hesabu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mama akikuthibitishia kuwa mtoto si wako na anapofikisha miaka.10 anambadilisha na jina ufanyeje? Ikizingatiwa siku zote ulikuwa na wasiwasi?
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habarini wapenzi, naomba mnisaidie. Kwa mujibu wa sheria kama wazazi wametengana na watoto akapewa mama awalee. Je, iwapo mama amebadili dini baada ya ndoa kuvunjika (1) ni kosa kisheria? (2) Na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna tukio nimelishudia kwenye moja ya Mahakama zetu huko Tanga! Washitakiwa walikua wawili, mshitakiwa wa kwanza baada ya kusomewa Mashitaka yake ya Kugushi na kula njama na Wakili wa Serekali...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini za usiku wependwa Naomba msaada kwa anaejua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu aweze kuandika wosia aweze kugawanya mali zake na je.? Inawezekana kumrithisha mtoto wa kuanzia umri gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hadi muda huu, hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD Vile vile hakuna mkataba uliosainiwa kati ya nchi yetu na Dubai, isipokuwa kilichosainiwa ni AGREEMENT kati ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina ndugu alipata ajali na kupata ulemavu wa kudumu na hiyo ajali alisababishiwa kwani dereva alihama upande wake na kumfata. Sasa chombo chake hakikuwa na bima na alienda kudai fidia yake kwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nisiwachoshe wadau niende Moja Kwa Moja kwenye maada. Mimi ni mtumishi niliyewahi kunifaika na bodi ya mikopo elimu ya juu, nikiwa chuoni. Mara baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo nilipata...
1 Reactions
2 Replies
781 Views
Please assist a friend of mine who does not know about this. I there a requirement to pay filing fees at the District Land and Housing Tribunal? What does the law say about this and how much are...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…