Vituko Mahakamani

jkipaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2019
5,709
7,601
Kuna tukio nimelishudia kwenye moja ya Mahakama zetu huko Tanga!

Washitakiwa walikua wawili, mshitakiwa wa kwanza baada ya kusomewa Mashitaka yake ya Kugushi na kula njama na Wakili wa Serekali, Muheshimiwa Hakimu akimuuliza mshitakiwa no 1 je kweli si kweli!?

Mshitakiwa akajibu "kweli" lakini cha ajabu Muheshimiwa akawa mkali sana kwa huyo mshitakiwa na kumtishia "nitakufunga sasa hivi" akamuuliza tena kweli si kweli!? Mshitakiwa akajibu si kweli! Muheshimiwa akamwambia Wakili wa Serekali haya sasa msomee na mshitakiwa no 2 nae akasomewa Mashitaka Kama hayo hayo, ila yeye akajibu si kweli.

Naomba kuuliza wajuzi wa Mambo ya Mahakamani hii kisheria imekaaje?

Nawasilisha!
 
Kisheria hakimu akiuliza kweli au si kweli? Mshitakiwa akisema kweli ,anatakiwa amsomee mala tatu ili ahakikishe kuwa anajua anachojibu
 
Kuna tukio nimelishudia kwenye moja ya Mahakama zetu huko Tanga!

Washitakiwa walikua wawili, mshitakiwa wa kwanza baada ya kusomewa Mashitaka yake ya Kugushi na kula njama na Wakili wa Serekali, Muheshimiwa Hakimu akimuuliza mshitakiwa no 1 je kweli si kweli!?

Mshitakiwa akajibu "kweli" lakini cha ajabu Muheshimiwa akawa mkali sana kwa huyo mshitakiwa na kumtishia "nitakufunga sasa hivi" akamuuliza tena kweli si kweli!? Mshitakiwa akajibu si kweli! Muheshimiwa akamwambia Wakili wa Serekali haya sasa msomee na mshitakiwa no 2 nae akasomewa Mashitaka Kama hayo hayo, ila yeye akajibu si kweli.

Naomba kuuliza wajuzi wa Mambo ya Mahakamani hii kisheria imekaaje?

Nawasilisha!
Hakimu ni mwema.sana
 
Back
Top Bottom