Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Pamoja nakuwa sijui sheria za misri zinasemaje, lakini naona kama ni vigumu kwa jaji ku-implicate mtu kama amesababisha vifo vya watu katika vurugu hizo. Mens rea na identification ya aliowahukumu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wanaJF naomba mnisaidie kuhusu sheria za kazi zinasemaje kwa hii tetesi ninayo isikia,.Mimi ni mtumishi wa MAMLAKA YA RELI YA TANZANIA NA ZAMBIA(TAZARA) ambapo kwa kipindi kirefu sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
A Catholic Christian Masanja Hamis, 27 yrs of Kahama Parish, Kahama Disrict, Shinyanga region in Tanzania, on 31st Oct, 2011, was imprisoned for 4 monthsbeing accused of slaughtering animals for...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
x, alifungua kesi ya kuvunja ndoa mahakamani kwa madai ya kupigwa, na mahakama baada ya kusikiliza pande zote mbili ikaona kuwa mdai ameshindwa kuthibitisha dai lake, hivyo ndoa haikuvunjwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kutokana hukumu mbalimbali ambazo imeamuliwa na mahakama ya mwanzo na baadae kukatiwa rufaa ambayo itampatia mrufani ushindi Itakuwaje kwa hakimu wa mahakama ya mwanzo alietoa hukumu?Sheria...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kisheria kuhusu hili suala: binti kuolewa akiwa na umri kati ya miaka 14-15 na mwanamume mwenye umri sawa na baba yake kwa sheria za Tanzania zinasemaje?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajanvi. Ningependa kujua kama dhamana ile ambayo inatolewa mahakaman kwa minajil ya kumwachia mfungwa kwa muda, hv huwa inarudi baada ya kesi kupata hukumu? Au huwa hairudi? Kwa mfano m2...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jaji aliyepangiwa ...Kusini na Mashariki zote zinalingana, Dhamana: Mawakili wa "Lulu" wawasilisha maombi; Kusikilizwa Ijumaa, Januari 25 21/01/2013 0 Comments MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna hili swala watendaji wanapita kwenye biashara za watu kudai hiyo service rev(wanavidai ni karibisha mteja, pale naposema mteja karibu basi lazima nilipie kwa mwaka hiyo karibisha mteja) sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa naomba mnisaidie kunipatia majina ya majaji wa rufaa Tanzania. 1. Justice Munuo 2. Justice Nsekela 3. Justice Kimaro 4. .................. etc, etc
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapendawa wanasheria wa JF naomba muipitie hukumu hii ya Mheshimiwa muone aliyokuwa akiyasema Tundu Lisu. Tuainishe mapungufu/nguvu (weakness/strength) ya hukumu hii, bila kutukana bali kupata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kujua sheria gani inaweza kutumika kumfanya mme awajibike ndani ya nyumba?
1 Reactions
1 Replies
891 Views
Female lawyers are forbidden from wearing revealing clothing including sleeveless shirts or dresses according to a new dress code for advocates of the High Court released today by the Law Society...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Jaman nahtaj kwenda kusoma diploma ya sheria kule Tanga lakini sina uwezo wa ku-pay school fs na hata ndugu zng hawako na uwezo huo.mbali zaidi mimi ni yatima. Je naweza kupata mtu wa kunifadhili...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Nimeshitushwa na habari hii kutoka katika gazeti la mwananchi la leo. WATU 12 raia wa Ethiopia wamehukumiwa na mahakama ya Wilaya ya Singida, kulipa faini ya Sh100,000 kila mmoja baada ya kukiri...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapendwa habarini za Leo? Boss wangu ananisumbua kweli kweli yaani sina amani ya kazi hata kidogo, ni mwanamke na anatoka nchi jirani, nimejaribu kucheki ni wapi nimekosea but sioni. Anafikia...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu wana jf. Naamini sote tumesikia tukio lilotokea india la kumbaka mwanamke na mpaka kumchafua chafua na kumueka katika hali mbaya. Hebu jambo hili tulitizame kama lingetutokea sisi wenyewe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
No miniskirts for lawyers By Harold Hayodo Nairobi, Kenya: The Law Society of Kenya (LSK) has released a dress code for practicing Advocates of the High Court. LSK Secretary Apollo Mboya and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The WITS Student Law Journal of Southern Africa is an upstart journal housed within the University of the Witwatersrand and run completely by an editorial team of law students. The aim of our...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi ni jambo la busara mwekezaji kutoka nje kuwa na sauti ndani ya nchi yetu na kushiriki katika kuwakandamiza wananchi (wazawa). je serikali iko wapi juu ya suala hili na je kati ya mwananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom