Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

HUKUMU YA SHEIKH PONDA YAKUMBWA NA MIZENGWE LEO HUKUMU ya Kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya maandamano...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
habari za wakati huu wanajamii Kwa yeyote mwenye taarifa ya Hukumu ya Shehe Ponda atujuze. Asanteni kwa ushirikiano wenu wanaJF
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu aliemaliza kidato cha nne mwaka jana bahati mbaya alifeli ila alitarajia kurudia mtiani mwakani, umri wake ni miaka 21 alichelewa kuanza shule. nimesikia leo anamimba aliyempa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari waheshimiwa,ninashauri linaloendelea mahakama ya mwanzo buguruni kuhusiana na mirathi,msimamizi wangu wa mirathi anauza mali za mirathi bila kugawa,amekana shitaka na ameiambia mahakama kua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mim ni Mtanzania niliepata passport Zazibar lakin kwa sasa natumua chet cha kuzaliwe chengine ambacho baadhi ya taarifa ambazo ni tofaut na kile cha mwanzo nilichotumia kutengezea passport. Jee...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana Jf, ninaomba mwenye Link ya Tanzania Law Report na kesi ya mwenendo wa kesi ya mwamwindi v R na hukumu yake. NitaSHUKURU SANA. nakama link ya kesi ya mwimwindi haipo basi nijulishe nitawapa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jaamani Habarinii za asubuhi!!kuna hili swala la hawa wafanyakazi wa eroplink.Kuna Bank Moja maarufu jina kapuni nilibahatika kufanya kazi mwaka mmoja chini ya hii kampuni ya erolink bahati nzuri...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Naendelea kuifuatilia kesi hii na jinsi Chadema inavyomtetea afisa wake mkuu wa usalama bw. Rwakatale. Napata kigugumizi sana nikilinganisha au nikitabiri matokeo ya kesi iwapo itafutwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Usalama wa Chadema Willfred Lwakatare na Ludovick Rwezaura akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Wiki iliyopita.Picha na Maktaba. KWA UFUPI Uamuzi wa kusikiliza maombi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
With relevant provision of customary law declaration.doez the declaration reflect african culture?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu jana na leo gari la matangazo limekuwa likipita mitaa mbalimbali ya jiji la Mwanza na vitongoji vyake likitangaza tangazo la serikali ya CCM la kuwaamuru wamachinga wote, mama ntilie na wote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi ukimtole mwanamke mahali na umezaa nae baada ya hapo mkakosana na kutenge je anahaki ya kuomba talaka? na kuhusu mtoto ninahaki ya kumchukua baada ya muda gani mtoto mwenye now ana mwaka...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Naomba msaada wenu kama kitendo hiki hakiwezi kuibua a cause of action in tort au la.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa anayejua naomba anisaidie,ni viongozi gani wenye kinga ya kimahakama?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
na Walter Mguluchuma, Mpanda MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Mpanda imemuhukumu Kassim Lugendo (41) mkazi wa Kijiji cha Kambanga kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Jackson Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge jijini Dar es Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Kisutu
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza sasa limeamua kutumia polisi wa kimataifa (Interpol) kuwasaka viongozi wawili wa dini wanaodaiwa kutorokea nchi za nje kukwepa kukamatwa kwa tuhuma za kurekodi kanda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na sheria ya ndoa ya Mwaka 1971, ndoa inatafsiriwa kuwa ni muungano wa hiari baina ya mwanaume na mwanamke, muungano unaokusudiwa kudumu kwa muda wote wa maisha yao. Kutokana na tafsiri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari za jf? Nia na madhumuni yangu ni kutaka kujua je kama kiongozi wa kanisa katoliki duniani anaweza kushitakiwa au kukamatwa? Kwa maana kama sikosei ilikuwa mwaka 2010 kanisa lilikuwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wanajamii, Ninaomba kuuliza maswali yafuatayo: 1:Hivi naweza kuchimba madini nikiwa na primary mining licence bila kuwa na mining licence? 2:Kama nina primary mining licence ni hatua zipi...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Back
Top Bottom