Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

mimi naitwa Issa Said Ally( sio jina langu halisi), Kwa mda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na hili jina Kwa mda mrefu Kwa sababu limekuwa likiingiliana na majina ya watu wengi. Sasa nataka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ndiyo chaji yenyewe. Facts zimetulia na zinaonesha umakini ktk kazi. Je tumefika hapo au tutafika lini??
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Janja ya kushinda kesi kwa wakili huyu ambaye pia huiwakilisha ccm kwa baadhi ya kesi ni uandaaji wa mashtaka.huwa anahakikisha mashtka yanatengenezwa kwa namna ambayo itamsaidia ashinde...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za siku nyingi, nilikuwa naomba msaada wa watalaamu kuhusu maana yake "FUJO", katika sheria ya Tanzania. Je mtu moja, anaweza kuletea fujo, bila kumshambulia kimwili, bila kumshika wala...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana JF embu nisaidien katika hili, inafahamika Tz ni kosa kutoa mimba kisheria, ila kama m2 akiwa na matatizo kiafya yanayoweza ku7bshwa na ujauzto alioupata na akataka kutoa ni sheria zp...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hivi hawa watu wanaofanya mapenzi ndani ya gari na kusababisha ajari wanastahili adhabu gani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbunge Godbless Lema akionyesha ishara ya vidole inayotumika na chama chake wakati akitoka mahakamani. Wandishi wa habari wakizungumza na Wakili Tundu Lissu aliyekuwa akimtetea Lema. Lema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nairobi, Kenya: The Law Society of Kenya (LSK) is demanding legal action be taken against a High Court Judge who acquitted businessman Kamlesh Pattni of Goldenberg criminal charges...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Wataalam wa sheria na wadau kwa ujumla, Heshima kwenu nyote, Kufuatia tukio la kulipuka kwa mabomu na kusababisha vifo huko Boston marekani, kuna swali linenijia. Vijana wanaosemekana...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
LULU AFANYA BONGE LA PATIPosted by GLOBAL on April 19, 2013 at 3:35pm 1 Comment 0 Likes Stori: Imelda Mtema Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ si mtoto tena, ametimiza rasmi umri wa miaka 18...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Sijaona any criminality inayotokana na uvutaji wa bangi isipokua negative perception tuliyojijengea miaka mingi kuwa bangi sio nzuri. Hili limenifanya nione kua bangi namsaada mkubwa ukiondoa...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Serikali imesema kuwa uchunguzi wa tuhuma kubwa saba za ufisadi utakamilika katika mwaka wa fedha 2013/14. Jukumu hilo litatekelezwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sumbawanga. Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda, katika Mkoa wa Katavi, imemhukumu Abisai Joseph (40) wa Mtaa wa Kigamboni, kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bi Celestina Ananius(35) amenusurika Kuuawa na Padri ambaye kwa Sasa anaishi kwenye Makazi ya Katoliki Mbezi kwa ajiri ya Masomo.Dada huyo anasema amekuwa katika ngono na padri huyo tangia akiwa...
1 Reactions
72 Replies
17K Views
Hivi ukweli na haki (truth and justice) vinaeliwekaje katika fani ya sheria? Hivi katika mahakama hasa mahakama za tanzania kuna haki kweli au basi ndo mkubwa mpishe apite? Naomba maelezo na hoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0768582538 plz kuna kes ya madai
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Parliament yesterday tasked the government to conduct thorough investigation to establish the names of Tanzanian personalities holding offshore bank accounts and the amounts held. The move comes...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bila shaka kuna members wa JF wapo Mahakama ya Kisutu, tafadhali tujuzeni kuhusu hukumu yake ambayo ni leo. NB: Namtakia kifungo chema
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu kwa ujumla? naomba kufahamishwa kuhusu Mbunge anapofanya kosa la jinai akiwa ndani ya Bunge {Mjengoni} je ataadhibiwa na kanuni za Bunge tu au kuna uwezekano wa kufunguliwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanasheria nisaidieni, mimi siyo mbunge lakini nina hoja kibao ambazo nimejaribu kuziwasilisha kwa wabunge wangu kila mmoja nikimpa ya kwake, lakini mmojawapo aliichakachua, ikakosa nguvu bungeni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom