Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

  • Closed
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49...
4 Reactions
190 Replies
17K Views
Nimekuwa nikiangalia watu wengi wakifunguliwa mashitaka ya jinai na baadae Mahakama kuwasafisha, Mfano hai kabisa ni mashitaka ya Lwakatare na Zombe. Hivi hairuhusiwi Kumshitaki DPP kwa kufungua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF leo nimejaribu kuangalia taarifa ya habari kupitia TBC lengo lilikuwa ni kuona Je watazingumzia kesi ya lwakatare hasa baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi. Kweli sijaamini kilichotokea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
Leo ndio tarehe iliyopangwa kusikilizwa kwa kesi ya katibu wa Jumuiya na mihadhara ya kiislam sheikh Issa Ponda baada ya kuhairishwa kwa jaji kutofika mahakamani. Swali la msingi kama wafuasi...
0 Reactions
188 Replies
16K Views
Leo nilikuwa natokea Sengerema, nikavukia Kigongo Fery. Nikiwa kwenye kivuko kuna suala la kipuuzi limetokea mahali pale kuna gari ambalo ni mali ya SABEDI lenye namba za usajili UAH 868 NA TELE...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu salamu, je kuna sheria yoyote ya kuchinja wanyama au inayoelezea namna ya kuchinja Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman hebu nijuzeni kuhusu bum linatoka lini? jana tulitangaziwa kuwa leo mchana tungewekewa but till now nothing nani mwenye update ya uhakika? wengine tuna cku tatu tunashindia chai tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani ni haki ukiwa ulishasign mkataba na chuo tokea mwaka wa kwanza inaruhusiwa kwa cho kupandisha ada kwa kila muhula??? Naombeni mnaofahamu sheria na kanuni za mkataba mnielezee.
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Tunaomba mwenye hukumu ya mahakama ya rufani ya ubunge wa sumbawanga mjini atuwekee jamvini tupate maarifa.
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Kuna malalamiko mengi kuhusu RAS electronics ya mabibo hostel ya ama kudhulumu, au kubadilisha hardware, au kum-provoke mteja ili afanye kosa la jinai wakati anapodai mali yake. Na mara mteja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana sheria hebu niambieni hivi mtu akimwambukiza mtu ukimwi kwa makusudi sheria inasemaje?
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Sheria inasemaje kuhusu mtu aliye ambukizwa HIV kwa makusudi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenye mjadala huo chini, ameandika maneno hayo kwenye quate akiwa na maana SIKU za Mchungaji zinahesabika. Maisha yake unaweza kuhesabu kwa wazi kabisa kuwa zimebaki siku ngapi. Ninaomba...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu na wajua sheria naomba mnisaidie nauliza. Nina mpangaji na tuna mkataba utakaoisha 2014.June. Hajalipa kodi ya June 2013-June 2014.Kodi yake inaisha May.2013. Nimeamua kumpa notice ya miezi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume niko kwenye ndoa kwa miaka 4 sasa na kabla ya hapo nilipata mtoto na kwa bahati mbaya mke wangu alichelewa kupata mtoto hivyo tuka adopt mtoto japokuwa bado hajawa mtoto wetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana Jamvi! Hii ni kuhusu kesi ya Casey Anthony, mama wa Kimarekani aliyefanya unyama mkubwa kwa kumuua mwanae wa kuzaa - Caylee Anthony (2yrs) mnamo mwaka 2008! Maiti ya mtoto huyu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
These are from a book called Disorder in the American Courts and are things people actually said in court, word for word, taken down and published by court reporters that had the torment of...
1 Reactions
1 Replies
895 Views
Kwanini mwajiriwa akiwa katika probation huweza kunyanyaswa na kutishiwa hali ya kuwa swala la probesheni ni acceptance ya mwajiri? Katika sheria za mikataba kama zinzvyo fanana fanana na sheria...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
LIWALE: WATOTO WADOGO WABAMBIKIZIWA KESI YA "UNYANG'ANYI" WA KUTUMIA SILAHA. Watoto SAID HASSAN BADI, 14 (Kushoto kwangu) na SALAMA HASHIM MBWANA, 14 (Kulia kwangu) - (wote wanafunzi wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom