Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Nina issue ambayo nahitaji msaada wa kisheria kwenye maswala ya Ustawi wa jamii.kama ni mtaalamu basi ni PM ukiwa na CV yako .veting itafanyika baada ya hapo appointment itapangwa, Nnacho hitaji...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Mtuhumiwa wa kurusha Bomu kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, parokia ya Olasiti, Jimbo Kuu la Arusha, Victor Ambrose Calist amefikishwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi kwenye...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa kuwatungia uongo . Na kama ana ushahidi wa aliyoyaongea basi akatoe vielelezo mahakamani. Na akishindwa wamdai fidia nzito kwa kuwachafulia radio yao ili iwe fundisho kwake na kwa wengineo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
*Asema mkakati wa kukamatwa kwake uliandaliwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIKU moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dares Salaam, kumwachia na kumweka chini ya uangalizi wa mwaka...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Naomba kuelezwa kuhusu Act No 1 of 2005 inahusu nini na inaelezea nini na ilipewa jina gani?
0 Reactions
0 Replies
811 Views
advocate huyu ambaye anashikiliwa katika mahabusu ya gereza la kisongo aliyasema hayo leo katika muendelezo wa kesi inayomkabili. Amedai mawakili wa serikali humfuata mara kwa mara na kutaka...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Nimekuwa nafuatilia kisanga cha Polisi wetu Morogoro kubambika mtu kesi ya kichwa na baada ya game lao kushtukiwa wao sasa wanapambana na mkono wa sheria.Naomba nijulishwe mashtaka...
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Whoever loves 4 Allahs sake..hates 4 Allahs sake..gives Allahs sake..n withholds 4 Allahs sake has a perfect faith(Abu Dawud)..,,Muslims thru ur in hartimes in Kuffaris hands but dont fear...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Habari zenu wana jamvi,leo nimewiwa kuleta hii maada ili tuweze kupata ufafanuzi zaidi kuhusu mabadiliko ya katiba katika nchi za EAST AFRICA,tunataka kujua ni katiba ipi inayoongoza kwa kufuata...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Maana tunasikia tu kesi za mabilioni ya EPA nk; je, kesi ya DECI mbona kimya kabisa? Na yale mabilioni waliyoyakusanya yako wapi na ni nini hatima yake?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ananiambia kazi ya serikali ya ujenzi haina rention je ni sawa?
0 Reactions
0 Replies
998 Views
siyo siri tena kwamba TBC hawataki kutangaza habari za chadema na hata wabunge wa chama hicho. Mara nyingi wabunge wabunge hao wanapozungumza TBC hukata kwa kisingizio cha ubovu wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari. Natafuta msaada wa kisheria kwa masuala ya ajira. kama kuna mwanasheria anaweza akanirepresent, tafadhali naomba tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi mdau mwenzangu umewahi kujiuliza swali hili? Katika mihimili mitatu ya Dola,mahakama ndio mhimili pekee unaotenda haki kwa wapinzani.Mahakama zetu zingekuwa zinafanya kazi kama Bunge kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
VIDEO YA WAZEE WATATU WAKICHOMWA MOTO HADHARANI KWA MADAI KWAMBA NI WACHAWI - MPEKUZI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The 1996 homicide investigation of six-year-old JonBenet Ramsey provides valuable lessons in proper crime-scene investigation procedures. From this case, we learn how important it is to secure a...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Kumekucha wanajamvi? maana kulala uraiani na kuamka jela limekuwa jambo la kawaida sana hapa kwetu ndo maana nauliza kama kumekucha na makucha yetu salama? Leo nina swali moja kuu la msingi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, naomba niliseme tu! Naona hukumu za akina Ponda zimejaa siasa tu wala hakuna hata chembe moja ya uhalisia wa sheria. Ni kuwatuliza kundi la watu fulani. Hakuna taaluma ya sheria! Shame on...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
  • Closed
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49...
4 Reactions
190 Replies
17K Views
Nimekuwa nikiangalia watu wengi wakifunguliwa mashitaka ya jinai na baadae Mahakama kuwasafisha, Mfano hai kabisa ni mashitaka ya Lwakatare na Zombe. Hivi hairuhusiwi Kumshitaki DPP kwa kufungua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom