Jamani ni haki ukiwa ulishasign mkataba na chuo tokea mwaka wa kwanza inaruhusiwa kwa cho kupandisha ada kwa kila muhula??? Naombeni mnaofahamu sheria na kanuni za mkataba mnielezee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.