Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wanasheria nauliza siku za kifungo huko Jela huwa zinahesabiwaje..Je ni kwa mfumo wa 24hr per day au day and night inajitegemea.
Niliwahi kusikia sehemu fulani kuwa MTU kwamfano akihukumiwa...
“AN ADVOCATE'S PERSPECTIVE”
Recently, a letter from various embassies highlighted numerous challenges faced by foreign investors with the Tanzania Revenue Authority (TRA). Initially, I suspected...
Introduction
In his recent budget presentation, the Minister for Finance, Dr. Mwigulu Nchemba, emphasized the crucial role of withholding tax compliance by taxpayers. This underscores the...
MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO.
Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike...
Kwanza nitangulize shukrani.
Mwaka 2021 mama yangu alipata ajali sasa akafungua kesi ya madai ikaenda ikafikia mpaka hatua ya utekelezaji kabla ya kufanya utekelezaji ikagundulika kuwa jina la...
In reviewing the Finance Bill 2024, published on June 18t, 2024, SARC Law Chambers would like to highlight our opinions and recommendations regarding certain proposed and non-proposed provisions...
Habari za wakati huu,
Mimi ni mwananchi wa kawaida, raia wa Tanzania. Nipo Dar es Salaam katika eneo fulani ambalo lilikuwa shamba la marehemu mzee wangu, sasa limekuwa eneo la makazi. Ilibidi...
Habari wakuu, nna jamaa yangu alikuwa anafanya Kazi kampuni tuiite X, lakin kampuni X ime outsource position yake kwenye kampuni Y ambayo kampuni Y ndo iliyo muajiri na kumpa mkataba na inahusika...
Habarini za uzima ndugu zangu
Husika na kichwa cha habari hapo juu, naomba Niende moja kwa moja kwenye mada nilikua na mpangaji ambae alilipa pesa ya kodi yake vizuri wakati anaingia shida ni...
Hali hii naona ifike mahali itazamwe kwa jicho la tatu. Ukiwatazama hawa wanaojiita Mitume hasa kwa hapa DSM, kwa kweli kuna utata mno kwao, na kwenye baadhi ya shuhuda za wafuasi wao.
Kwa akili...
Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa masuala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii haimaanishi ni wale waliosoma sheria tu...
For more than two decades, Tanzania's tax disputes have been adjudicated by a structured system starting with the Tax Revenue Appeals Board (TRAB), followed by appeals to the Tax Revenue Appeals...
“Key Focus on Transparency, Governance, and Accountability”
As Tanzanians await the presentation of the 2024/2025 financial year budget by the Minister of Finance, the nation stands at a critical...
MGAWANYO WA MALI ZA FAMILIA BAADA YA MUME NA MKE KUACHANA.
SEHEMU YA 2
Mgawanyo wa mali za familia baada ya mume na mke kuachana unapaswa ufanyike kwa kuzingatia haki, ili kila mmoja apate kile...
P1) the rules must be expressed in general terms;
(P2) the rules must be publicly promulgated;
(P3) the rules must be prospective in effect;
(P4) the rules must be expressed in understandable...
In a previous article, I highlighted several critical areas within Tanzania's tax statutes that require immediate attention and amendment, especially as the national budget is currently under...
Jaji Wa Mahakama Kuu anashangaa aina ya Hukumu iliyoandikwa na Mhe. Odira ambyo ilikuwa haina Hata Legal Citation Wala Case Authority Kujenga hoja yake.
.
Jaji anasema Hukumu yoyote Ambayo Haina...
Kwanza kabisa niombe Jamiiforums wasiunganishe uzi huu na Nyuzi nyingine zinazoelezea kuhusu sakata la Mtoto kulawitiwa Arusha na Kesi yake kufika kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Sote ni mashahidi wa...
Wakuu wa JF,
Msaada wenu unahitajika:
1. Naomba kujua taratibu za kupima kiwanja dar es salaam ikoje? Process inakuwaje na cost?
2. Kupata leseni ya makazi process yake ikoje?
Asanteni