Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Naomba nianze nukuu mbili za waziri mkuu mstaafu EL alizotoa bungeni wakati akichangia repoti ya iliyokuwa kamati teule chini ya uenyekiti wa mtunzi wa kitabu cha "Pepo ya Mabwege" ndg. H...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari WanaJF,Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Mimi ni mhitimu kutoka chuo kimoja hapa nchini.Nikiwa likizo ya mwaka wa kwanza nilienda likizo kijijini kwetu,kule nilikutana na mdada katika...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
HABARI ZENU NDUGU WANAJAMII FORUM? NAOMBA KUJUA NAMNA YA KUPATA VISA YA KUSAFIRIA NJE YA NCHI NA GHARAMA ZAKE. Mfano kutoka Tanzania kwenda Zambia
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Sometimes is difficult to believe what is happening in this world. What should we call this? A nine-month-old boy has appeared in court in Pakistan on charges of planning a murder, threatening...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa yangu kapigwa fine hii jamani, hivi uchakavu wa seat cover nao ni kosa la barabarani kweli? Trafic police huyu mie kama sijamwelewa hivi.Tujuzane tu ili na wengine tutie maji, coz mwenzetu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapendwa salaam. Naomba msaada wenu,katika hili ruling imetoka,hivi .respondent shall have his costs,order accordingly,nini kinafuata, na documents zipi zinztakiwa ili kupata gharama za kesi...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
09/04/2014 Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi, Morogoro KATIBU wa Taasisi na Jumuiya ya Kiislamu, Sheikh Issa Ponda, ameendelea kusota rumande hadi pale jalada la kesi yake litakaporejeshwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watch live: Oscar Pistorius murder trial Follow events from Pretoria, where Paralympic athlete Oscar Pistorius is giving evidence in his murder trial. Proceedings are scheduled to begin at 8.30am...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kuna tarifa kuwa magereza tajwa juu ndio magereza yenye kazi ngumu na shuruba kwa wafungwa. Ni kweli wadau?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Learned brothers and sisters naomba ambae ana link ya case hii online ya "Concordia Trading BV Vs Richco Int. Ltd (1991) Vol. 1 LLR" anijuze. Pia kama una details za case hii unijuze
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mtu mmoja alifoji saini ya bosi wake ili aweze kujipatia fedha. Taasisi hiyo ikachukua hatua ya kumfukuza kazi....lakini nimesikia kuwa wamemfungulia mashtaka kwa kosa hilo hilo. Je hapa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, juzi tarehe 6.4.14, katika maeneo ya Mutukula (upande wa Tanzania), mpaka unaozitenganisha nchi za Tanzania na Uganda, kulizuka taflani ya aina yake baada ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wadau wa sheria Ni kesi ya kiwanja na waliokabidhiana wote ni marehemu...walikabidhiana kwa maandishi miaka ishirini na tano iliyopita but hilo karatasi lilichukuliwa na mke wa marehemu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nianze kwa kuwaita akina Peter E. Mselewa na wazoefu woote wa mambo haya. Ni hivi ndugu yangu alimkopesha rafiki yake 3m na dhamana ilikuwa gari yenye thamani zaidi ya hiyo na ilipaswa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Nimekuwa nkiangalia hili tukio la wema kuvamia ofisi za Global publishers, na chamsingi labda watu wa sheria wanisaidie sheria inasemaje kama umeandikwa na chombo cha habari na hujaridhika na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika, Napenda kujua hatua gani naweza kuchukua juu ya Mfuko wa hifadhi ya Jamii wa Mafao ya uzeeni PSPF juu ya kuchelewesha mafao ya uzeeni. Mimi nimependa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunatoa mafunzo ya biashara kwa vijana mbalimbali. Tuna kampuni na leseni halali ya kutoa mafunzo haya. Tunafikiria kuanza kutoa "Certificate of attendance" kwa wahitimu. Je taratibu gani za...
0 Reactions
1 Replies
769 Views
Natumaini humu jukwaani nitapata ushauri nini cha kufanya, Sisi baba yetu alifariki dunia mwaka jana mwezi wa nne,sasa kwenye bank ya NMB walituambia baada ya kufuatilia mirathi mahakamani mje...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Mimi nasoma chuo kikuu hapa Tanzania. Mwaka jana mwezi wa tisa nilinunua plot lakini niliporudi chuo ndugu zake na muuzaji ambao ni wa kike walienda mahakamani wakidai mimi na mwenyekiti wa mtaa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya stori kuenea kwamba Mwigizaji RAY anahusika moja kwa moja na kifo cha mwigizaji STEVEN KANUMBA, mwigizaji huyo amezungumza yafuatayo kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM. Amesema "Nimekua...
1 Reactions
146 Replies
30K Views
Back
Top Bottom