Ukiwa suspended waweza andika barua ya kurisign?

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
547
70
habari wana jf
Mimi nikuwasuspended from job for unknown period. Je naweza nikarisign?
 
Hiyo suspension unalipwa mshahara?
Kimya kimya tafta ajira nyingine.
 
Mpaka sasa ni muda gani umesimamishwa kazi? Je uchunguzi dhidi yako na hatua za kinidhamu zimechukuliwa? i.e kamati ya nidhamu imekuita kujibu mashitaka? Ukijibu haya nitaweza kukupa ushauri zaidi
 
Msaada tafadhali! Muajiriwa ambaye yupo kwenye criminal case anaweza kuongezewa mshahara? Naomba jibu kwa wenye uelewa wa hilo
 
Unaweza kbsa hakuna pingamizi na itakusaidia endapo next step baada ya suspension ni termination.. ukiwa na CV ya termination sio nzur kwa mwajiri mpya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom