Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

MI bado naona mahakama imebugi kiaina.CDM wana kesi nyingine za kumfukuza , kwani charge yake inasemaje.Anaweza fukuzwa kwa kesi ingine ili akishinda ya mahakama awe kafukuzwa na ingine.So...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimelazimika kuuliza hivi kwa sababu ya changamoto za hapa na pale za kila siku, mfano ukinunua bidhaa dai risiti ukiuza dai risiti kwa mujibu wa TRA! Mara nyingi nimekumbana na adha ya maana...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Jamani nimepigiwa simu na mama yangu mdogo kutoka mbeya mjini kuwa mtoto wake wa kike amewekwa mahabusu jana eti kisa rafiki yake wa kike toka nyumba ya jirani ambaye amemaliza form four mwaka...
0 Reactions
4 Replies
943 Views
Mimi ni mpangaji kwenye flani huku nilipo sasa nimepewa notice na mwenye nyumba notice ya mwezi mmoja tu wakati huo nilikua nilishalipa kodi ya miezi mi3 je sheria inasemaje kwa mwenye nyumba...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Kama utapenda kuja Namtumbo Songe, idara ya sekondari mi nije huko kati ya mikoa tajwa hapo juu, nicheki,0713320319 .
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kisheria hapa. Hawa jamaa wa kikosi cha zima moto wanapita katika maduka hapa babati na kuwalazimisha watu watoe hela Tsh 40,000/= kwa ajili ya certificate ya usalama wa moto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Nataka kuanzisha kampuni, niliona thread inayoeleza taratibu za kufata, lakini mie kidogo nna maswali mawili matatu ivi.... Kuna kampuni tayari ipo, ishasajiliwa na ina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nahitaji mchango wenu hapo wadau maana nnachojua mimi Polisi wanaruhusiwa kutoa Ulinzi tu na sio kibali! . Sijui kama niko sahihi! Mchango wenu tafadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman hivi ustawi wa jamii idara ya watoto, mbona hatuelewi, imagne mtoto anaishi na shangazi yake ,anamfanyia ukatili kwa kumpiga na kumnyima chakula,,halafu ofisi za ustawi wa jamii,,zina sema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii biashara mi naona kama isajiliwe na wakina dada wanaojiuza walipe kodi kama nchi nyingine kama ulaya kwani mimi ninaona inaingiza sana pato la taifa......
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kisheria kama inavyojieleza hapo wazazi wametengana na mtoto anakaa na mama yake.Natanguliza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
2 Replies
2K Views
haya ndiyo maajabu ya chadema:- (1) wabunge wa chadema mwaka 2010 baada ya kushinda ubunge kwenye majimbo yao ya ubunge mfano john mnyika, joseph mbilinyi, freeman mbowe, godbless lema, zitto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu! naomba kufahamu malipo stahiki anayepaswa kulipwa mwajiriwa wa kudumu ambaye si wa mkataba endapo atandika barua kwa HR ya kuacha kazi yeye mwenyewe yenye notice ya mwezi moja si yamasaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za usiku huu wanajamvi. Leo nimetokelezea huku naomba msaada wa haki ya maternity leave. Ipo hivi nina rafiki yangu wa kike kapata kazi Mwanza Idara ya (ni lawyer by profesion from Law...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
DPP AMEMFUTIA YA KUUA BILA KUKUSUDIA MMILIKI WA JENGO LILIOANGUKA MTAA WA Indira Gandhi Jijini Dar, RAZA HUSSEIN RAZA AMBAPO KESI HIYO ILIKUWA IMEWAPA DHAMANA NA BADALA YAKE AMEMFUNGULIA KESI MPYA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau wa sheria naomba mnisaidie katika hili: Sheria inasemaje kuhusu kupiga picha kwenye maeneo ya wazi (public).? Miezi michache iliyopita nilienda kijiji fulani,na kubahatika kuhudhuria...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaruhusu kwenda kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona wanaokabiliwa na tuhuma za matumizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba mwenye uelewa wa hii kitu, hati ya onyo kabla ya kumshitaki mtu, je Sheria inasemaje na je ikawa umemshitaki mtu bila hii kitu what is the implication?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mwn hiyo act hpo juu naomba anisaidie coz nimeitafuta online bila ya mafanikio
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Wakuu nataka kubadili majina yangu ya kati na mwisho. Niko Tanzania. Naomba maelekezo ni hatua zipi za kisheria za kupitia ili nisije sumbuka huko mbeleni kama viongozi wa serikali yetu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom