Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Mimi ni mtumishi wa serikali ajira mpya, mpaka sasa sijapata mshahara na nilitumia acount ya CRDB,NMB wanasema wametuma pesa kwenda CRDB tangu tarehe 27.05. Je naweza kuwashtaki CRDB kwa kukaa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka jana mwezi August-September nilikuwa nahitaji fundi wa kupaua nyumba yangu, kwa bahati nzuri jirani yangu alikuwa anamfahamu fundi fulani nikachukua namba yake ya simu nikamuita. Baada ya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Ninaomba kujua legality ya state attorneys na city solicitors kuapisha watu, 'kufanya attestation', are they commissioners for oaths?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mama yangu na baba yangu wanakesi ya talaka mahakaman.baba alimtelekeza mama na kuishi na mwanake mwingine.mama hakuolewa.baba ni mstaafu,alipostaafu alinunua baadhi ya mali na sasa kesi imefikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mwenye kesi au taarifa ya judge yeyote ambaye alifukuzwa kazi ya ujaji kwa kukiuka sheria na maadili ya utumishi au kwa interest za Mh. Rais tangu tunapata uhuru.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesoma kupitia kurasa za michezo kwamba eti katiba za soka (vilabu, shirikisho na FIFA) zinakataza masuala ya soka kupelekwa mahakamani ilihali Katiba ya nchi (JMT) inasema kwamba Mahakama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba wakuu wangu yeyote mwenye hii document anisaidie! Naomba sana kwa yeyote aliye nayo...HESHIMA KWENU
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wanajamii. Kwa wale wote ambao ni mahakimu naomba wanisaidie yafuatayo: moja usahili hufanyika Mara moja tu au Mara mbili? Yaani huwa kuna kuwa na oral interview and written? Pili huwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau!Natafuta msaada wa kisheria katika masuala ya bima.Nahitaji kufungua kesi kuishitaki kampuni moja ya bima kwa kutolipa madai yangu na kukaa kimya bila kujibu madai yangu,tatizo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwaka 1 na miezi kama 8 iliyopita kuna jamaa yangu aliibiwa pikipiki yake ila kwa bahati nzuri alikua amekatia ile bima kubwa, hivyo akafanya process zote kuanzia polisi mpak bima kwenyewe. Bima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF!wiki iliyopita nilipata ajali maeneo ya Tabata, sasa tulienda police tukafungua jalada na likapelekwa mahakamani. Nina hitaji kulipwa kutoka insurance ila nimeambiwa natakiwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu, ningependa kujua ni vigezo gani vinazingatiwa kabla ya kujiunga na law school. Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanaforum tafadhali mwenye ujuzi na hii sheria anisaidie hili swali hapa chini.please. John and Steve formed a private company in the early January 2013. Unfortunately ‘John' was involved...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kuna hii kesi iliyotajwa hapo juu, inayohusiana na sheria ya madhara yanayowezakusababishwa na wazalishaji kama viwanda dhidi ya wateja wao. Mwenye uelewa zaidi wa hii kesi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau wa sheria naombeni msaada wa kujuzwa kesi za kusaini pasipo kuilewa vyema pepa husika Naomba kesi ya mfano, ukiacha kesi ya Sluis &Others
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kweli hiki ni kitu kipya katika sheria ya Tanzania? Kwa mwenye knowledge juu ya suala hili naomba anisaidie tafadhali.
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Jamani naomba msaada nini nifanye, nimemwona aliyeniibia simu yangu kwenye kamera live. Sasa ofisi inaendelea kufuatilia information kupitia huyo dada aliyekuja naye. Je, sasa hatua gani nichukue...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nilichelewa kupokea nakala ya hukumu ya kesi yangu. Zimenifikia muda wa rufaa ukiwa umepita. Je naweza kufanya taratibu zipi ili kumudu kukata rufaa?
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Nataka kujua, Je, wakati wa kipindi cha uchaguzi, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania huwa anabaki kuwa Rais au hujivua urais kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu? Kwa sababu na yeye huwa...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Mkuu tafadhali nisaidie katika hili. Anafanya kazi katika kampuni ya mtu binafsi. Mtu huyu amekua na tabia ya kukosa nidhamu kazini mara nyingi kazini anakuja amelewa. Mwajiri amechukua hatua ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom