Msaada kwa wanasheria wenzangu wanafunzi

MASEETO

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
261
86
Naomba mwenye kesi au taarifa ya judge yeyote ambaye alifukuzwa kazi ya ujaji kwa kukiuka sheria na maadili ya utumishi au kwa interest za Mh. Rais tangu tunapata uhuru.
 
Taratibu za kumng'oa judge kdg ngumu sana!!!!


Sent from Banet Iphone!!
 
Back
Top Bottom