Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Haki inaelekea kutendeka kwa Marehemu mtoto Nasra (R.I.P)
Ni baada ya mahakama ya Morogoro kuwashtaki wale walezi wake kwa kosa la mauaji.
credit.Chanel ten.
Habari zenu! Naitaji mawazo yenu, mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa Tanzania nilianza kazi mwaka jana kwenye mwezi wa saba nilipoanza kazi mwajiri alinipa form ya michango mafao PPF ili...
Nimefukuzwa kazi isivyo halali, na sijapewa chochote. Natafuta wakili wa kunisaidia au mtu yeyote mwenye uzoefu na kesi za ajira
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Wakuu heshima kwenu.
Nilikuwa kwenye safari trafiki wakampiga faini dreva wetu wa bus pale kibaha stand kisa alipiga overtake kwenye msitari iliyochorwa barabarani inayokataza overtake.
Baada ya...
Wakuu,
Mitandao ya simu imekuwa ikiwaibia sana wananchi, kwa mfano: unajiunga kifurushi cha muda wa maongezi wa dakika 90 au 170 lakini ukishaongea dakika ambazo hazifiki hata kumi ukijaribu...
Mtu anapokuwa amefunguliwa kesi ya murder highcourt akawa aquited, halafu baadae akacommit theft nakushtakiwa district court .
Je hakimu ana uwezo wakumnyima bail kwasababu alifawahi shitakiwa...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa nchini, naishi na mama ambae kwa sasa ni mgonjwa sana tangu 2012. Kabla ya kuumwa kwake alikuwa na kesi ya madai ya mgawanyo wa mali dhidi ya baba...
Habari za kazi!
Kuna mfanyakazi alipata ajali lakini nje ya ofisi. Alikuwa position ya mlinzi, sasa alipewa likizo ya kuumwa ya siku 126 kama sheria ya ajira inavyosema. Siku zimekwisha lakini...
Wanandugu. Nimebahatika kununua Banda lenye lesseni ya makazi Na Nataka kuirudisha kutoka umiliki wangu naomba kujuzwa taratibu Na gharama. Natanguliza shukrani
Ndugu yangu ni mtumishi baada ya kuhamishwa kituo cha kazi akapewa barua ya kutuhumiwa kuchukua pesa kituo alichotoka. Kabla hajakubali au kukataa akasimamishiwa mshahara wake.
Je, afanyeje na...
Kwenye halmashauli nayofanya kazi kuna rafiki yangu jumamos alipata dhalula kwa sababu ofisi za serikali zinakuwa zimefungwa week end kaamua kwenda kumwona mgonjwa.
Alikaa huko wiki mbili maana...
Ndugu zangu napenda kusaidiwa, hivi hela anayoombwa mtu kipindi anapoenda kuomba barua ya utambulisho kutoka ofisi ya serikali ya mtaa au mjumbe wao wanaiita "HELA YA MUHURI".
Hii kisheria...
Wakuu heshima kwenu nyote. Nimechomolewa waleti yenye Driving license, ATM card, vitambulisho vya kazini na hela. Msaada niuombao ni nianzie wapi ili niweze kupata hivi vitu vyangu?
Wasalaam,
Ntu
Mimi ni mwalimu wa sekondari, mkuu wangu wa shule amenipa barua kuwa hatanipa majukumu yoyote na anapanga kuniharibia kazi.
Nimemwona headmaster katika shule fulani amemwandikia barua mwalimu...
Habari wana JF,
Naomba kusaidiwa endapo ikitokea mtu amepoteza au ameibiwa hati yake ya nyumba au imeungua na moto, je baada ya kutoa taarifa polisi na kupewa loss report je akienda ofisi za...
Ndugu zangu JF,
Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao. Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa...
Y amegombana na X. Katika ugomvi wao Y amemtishia X kumuua, katika kuhofia usalama wake X akaamua kwenda kituo cha polisi kutoa taarifa kuwa Y ametishia kumuua. Y akaitwa kituo cha polisi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.