nataka kusomea mambo ya mahakama niende chuo gani hapa dar

IJA ni wapi?
dogo icho ni chuo cha mahakama, kinafundisha watu kuwa mahakimu wa mahakama za mwanzo na kufundisha watu kuwa makarani wa mahakama. hivyo ukitaka kuwa karani wa mahakama au ukitaka kuwa hakimu wa mahakama ya mwanzo (bila kuwa na degree) nenda chuo hicho (Institute of Judicial Administration-IJA) kipo lushoto tanga. kinatoa certificate na diploma, sina uhakika kama kimeanza kutoa degree.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom