Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wiki iliyopita mke wangu alihukumiwa kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Tsh 300,000/= kwa kosa la kutukana.
Tulilipa faini,wiki hii ameambiwa alipe fidia ya Tsh 81,000/= kwa mtu...
Ndugu wana jamii, mimi ni mtanzania mwenzenu naomba msaada kujua kama wazazi wa marahemu wanaweza kupata mgao wa mirathi baada ya mtoto wao kufariki; naomba nitoe ufafanuzi km ifuatavyo.
kuna...
Muda huu hapa Masaki, yule kijana ambaye niliwahi kutoa taarifa kuwa anataka kudhulumiwa haki yake amevamiwa tena na wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni na wameendelea kubomoa.
Kijana huyu juzi...
wakuu habari,napenda kufahamu jinsi nitakavyoweza kuwapata hawa jamaa wanaozuia na kupambana na rushwa hapa tz (TAKUKURU) pale nitakapoombwa rushwa maana nimechoka saaana kuombwa rushwa kila mara...
Wanajf naomba mnishauri kisheria jamani!Mimi ni mwajiriwa katika halmashauri nimeona matangazo ya kazi katika chuo kikuu cha umma ni taratibu gani za kisheria ninapaswa kuzifuata kabla ya kuomba...
Habarini wakuu?!
Im currently a law school student, im in a very bad economic situation to the extent it is threatening my studies. Im asking someone with (preferably a law firm) to sponsor me...
Habari wana jukwaa,
Nina pikipiki ya kutembelea ambayo nilikua namiliki kabla ya kumachia rafikiyangu anihifadhie kwa kipindi ambacho nilisafiri. Naye akampitia mtu asiyekua na lesen ili...
Wana JF, nahitaji mwanasheria wa kwenda kunisaidia kushuhudia utiaji saini wa mkataba wangu wa ununuzi wa shamba. Hapa Dar kwa maeneo ya Ubungo, Sinza na Magomeni naweza kuwapata wapi (Naomba...
Habari Wanajamii.
Kuna rafiki yangu 1 tulisoma nae chuo sasa majuzi nimekutana nae tukaanza kubadilishana mawazo ya hapa na pale.
Basi akaanza kunieleza jinsi alivyonusurika kufungwa miaka mitano...
Kitendo cha Times kuishtaki Clouds kwa mkataba iliyoingia na Davido kinanipa wasiwasi wa uelewa wa sheria wa mwanasheria wa Times. Katika mkataba thirdy party yani clouds hanufaiki wala hana...
Msaada wadau,
Wakuu kuna wakina mama wamejiunga hapa mtaani kwetu kwenye kikundi chenye uongozi rasmi, lakini hawana katiba wala hawajasajiliwa, wamekua wakiendesha shughuli zao mbali mbali...
Napenda kuuliza kwa wanasheria kama mimi ni mwajiriwa wa kampuni na nilikopeshwa nyumba na kampuni 2002 na baadaye mwaka 2005 nikamuoa mwanamke aliyenikuta ndani ya nyumba hiyo na nimeshaanza...
Jamani naombeni msaada wa kisheria kuhusu sisi waalimu wa halmashauri ya bagamoyo tumekatwa mishahara yetu eti kwa ajili ya ujenzi wa maabara shule za kata. Hili limekaaje kisheria na tufanyaje...
Naomba kuuliza:
kwa mtu anayesoma>
1.certificate of law
2.diploma of law
3.bachelor of law
a)anakuwa na cheo gani?
b)anasoma kozi namba 1,2 na 3 kwa muda gani?
c)ni kipi kima cha chini cha...
Naomba msaada; hukumu ya kesi yangu madai imetolewa jana. Je nifanye utaratibu gani wa kukata rufaa? Sijapata nakala ya hukumu ila hakimu alisema kuna siki 60 kama kuna yeyote anaka kukata rufaa.
Habari za sa hizi wakuu , kuna mdau mmoja kanitonya kuwa high court wamebandika majina ya watu watakao mface CJ siku za karibuni , mwenye uhakika na hii habari tunaomba atu habarishe zaidi
Msaada hapa, nina bosi wangu kazni ambaya kwa siku anaweza piga simu hmu hata mara 6 kumwambia tu housegirl afanye hiki au kile, pia humtukana na kusema kuwa ni mchawi, hana akili, mchafu, na...
2. JURISDICTION OF THE HIGH COURT
OF TANZANIA.
"The Court has unlimited Jurisdiction on
both Civil and Criminal matters within
Tanzania. In addition to the said original
and jurisdiction, the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.