Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

​ KWA UFUPI Shahidi huyo aliieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kilimanjaro kuwa haikujua ni mzigo wa aina gani uliokuwa ukisafirishwa kutokana na maombi ya baruapepe kueleza kuwa mzigo huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hivi serikali za nchi za wenzetu ukiona umepata pesa kwa njia haramu kama hii ya rugemarila alizogawa kama njugu, mali zake zote zinatakiwa kuzuiwa, account zote kuwa frozen kabla hajawithdraw...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kosa la kwanza ni ABUSE OF POSITION contrary to section 31 of the Prevention and Combating of corruption Act. kosa hili litamfaa kwasababu aliishauri vibaya serikali kwa manufaa yake mwenyewe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa mwajiliwa katika halmashauli kama muuguzi kwa muda miaka mitatu baada ya hapo niliacha kazi kwa kuandika barua kwa sababu zifuatazo kwanza halmashauli kuamua kusimamisha mishahara ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwana sheria naomba umsaidie huyu Rafiki yangu ambaye amenitumia hii post kwa Kiingereza, lakini mitaielezea tu kwa jinsi nilivyo muelewa mimi. Anafanya kazi na organisation moja ambayo makao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
bahati mbaya nimesahau jina na muandishi. kimechapishwa karl jamer kariakoo. kina ganda la kijani na kina samples za mikataba mbalimbali kama ya upangaji ,kununua nyumba nk. kama kuna sehemu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jukwaa la Sheria, naomba msaada wenu Ni wiki Tatu sasa tokea Askari mmoja pale Tegeta kwa ndevu, kituoni kuninyang'anya Leseni yangu. na amekuwa akinizungusha kunipatia kwa kigezo cha kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaman sasa tume choka haiwezekan mwafunzi tena nasoma sheria napelekwa kama wanafunzi wa secondar ya jeshi . kilasiku kufukuzwa darasan kisa huna dictionar na ukikutwa nje uandike barua kwann upo nje.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani naomba kujulishwa mgawanyo wa mirathi kisheria iwapo baba alifariki akaacha watoto wakiwa madogo mahakama na ukoo wa baba ukateua msimazi wa mirathi sasa watoto wameshafikisha miaka 18...
1 Reactions
37 Replies
11K Views
Naombeni msaada wenu wadau sielewi miaka ya mfungwa katika kifungo chake kama ni miaka 20 vipi inahesabiwa usiku na mchana kwahiyo atatumikia kwa miaka 10 msaada tafadhali
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, naomba ufafanuzi juu ya jambo hili. Mimi ni mwalimu ambaye niliajiriwa mwaka 2008 nikiwa kati ya wale walimu wa "crash program" . Baada ya kufanya kazi miaka miwili kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nakaribia kudhulumiwa haki yangu,nahitaji kupekua pekua baadhi ya sheria ili nijue napambanaje. tafadhali naomba anaejua duka hilo lilipo hapa mwanza mjini anielekeze nikimbie hapo mahali...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mimi nilinunua simu ya mkononi dukani nilitumia kwa miaka kadhaa. Baadae nilipatwa na shida na kumuuzia mtu mwingine je ninahaki ya kufanya hivyo. Kwa kumuuzia Mali yangu halali iliyotokana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshikaji wangu amepata kazi sehemu fulani .Akapewa mshahara NET TSHS 800000/=, Baada ya miezi sita akapewa mkataba mpya na cheo kipya ila malipo yaleyale na tena mshahara wake ukasomeka Basic...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Ukiomba kubadilishiwa hakimu kesi itaendelea au inaanza upya?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam JF !Naomba kujua stahiki ninazopaswa kupata ili nisiibiwe katika uandishi wa mkataba.Nitashuku sana.BE BLESSED !
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wasomi naomba ushauri. Mimi siku zangu hapa duniani zinahesabika, hivyo nimeanza kuandaa mirathi. Ninakapori kangu kadogo nataka kukahifadhi kwenye TRUST FUND kwa ajili ya watoto wangu waliochini...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
TUKIO la hivi karibuni la kuvamiwa kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi Utashinda, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako (pichani) na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi limechukuwa sura mpya...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
International law is a double standard,they are countries are forced to obey the laws while other do not obey them"discuss for mee plllzzz through great reasons
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Wakuu, Kuna mtu nilimkopesha Pesa kiasi, na tuliandikishana "locally" sababu kipindi hicho alikua ni hawara/boyfriend wa Mama yangu Mdogo. Hatukwenda kwa Mwanasheria yeyote na alinipa hati...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom