Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hili nimeona niliweje hapa ili wadau mbalimbali waje watoe maoni yao. dereva anapokamatwa na traffic ana haki gani kama ambavyo traffic pia ana haki gani.
1. je ni halali traffic kuchukua leseni...
Memberz habar za jion nikijana ambaye naitaji ushauri wenu kuhusu kufungua kampuni tuna grp mtaani kwetu na tumepata wazo lakufungua kampuni je ni kampuni ya haina gani itatufaa kwenye kundi letu...
Nina rafiki yangu walifunga ndoa na mumewe 2002, mumewe hakuwa na kazi na elimu ya mumewe ilikuwa kidato cha nne kwakweli alimpenda mumewe kwa dhati. Mwanamke kipata chake ni kizuri (mwaajiriwa)...
Wakili Maarufu nchini,Alex Mgongolwa amekosoa kitendo cha Serikali kutimiza siku ya saba bila ya kuwapo kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali akisema si sahihi. Amesema licha ya kwamba yupo Naibu...
Kwa mfano nimepata kazi taasisi au kampuni fulani na nimesaini mkataba wa zaidi ya mwaka...ikatokea hapo katikati nimepata kazi nyingine ambayo kwangu ina maslahi zaidi..kisheria utaratibu wa...
Hivi nani kawambia kuwa kada wa ccm ni kuwa hakimu,maana inasikitisha kuona viongozi tena wa ngazi ya chini kabisa(kitongoji) wanachukua sheria za kumzidi hata rais.Mwenyekiti mmoja wa kitongoji...
Wana JF, kuna ukweli kwamba unaweza ukawa msomi sana na bado ukawa huna uwezo wa kutumia kisomo chako katika kuamua mambo. Kwa kifupi, mtu aliyesoma sana mambo ya utawala haina maana ndiye atakuwa...
lawyers naombeni msaada natafuta case/
decisions za Fair Competition Commission
ambazo zime determine kwamba intellectual
property rights ambazo ni'' protected ni anti-
competitive practices...
KWA UFUPI
Hata hivyo, wakati rushwa ikishtadi nchini, Watanzania wengi hawana taarifa za kutosha na wengi zaidi hawajui kabisa kuhusu kashfa kubwa za rushwa zinazoelezwa katika vyombo vya habari...
Habari wanajamii!,tafadhali naomba kujuzwa kama inawezekana kuuza ardhi ambayo nimenunua kwa mtu na nipo kwenye hatua za mwisho za kuaptiwa hati mpya kwa maana nimefanya transfer.nimepata mteja...
Mahakama ya mwanzo iliyopo katika wilaya ya korogwe vijijini maeneo ya makuyuni-mombo,ni si sehemu salama kwa haki za binadamu.hakimu mkazi wa mahakama hiyo anae julikana kwa jina la mbwana...
Wadau poleni na majukumu ya kila siku Leo nilikua nataka kujua haki yangu kisheria maana ijumaa iliyopita katika harakati zangu za kibiashara nilijikuta kazi zangu zimesuasua kweli kweli maana ATM...
Habari za muda huu wana JF
nauliza sheria imekaaje kwamba unaweza kugombea mwenyekiti wa kijiji ukashinda then mwaka kesho kwenye uchaguzi wa madiwan ukagombea tena udiwani. Sijui hii inaruhusiwa...
Mimi nina mdogo wangu alikua anafanya kazi katika campuni ya sports betting sasa akawa ameingia tamaa ya kucheza yeye mwenyewe hadi akafikia milioni 20 akakimbia lakini mdhamini wake ni mama angu...
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi.PICHA|MAKTABA
Tanzania imegoma kuridhia pendekezo linalotaka haki kwa watu wenye uhusiano ya jinsia moja kuingizwa katika sheria za...
Nikijana nipo kwenye kundi takriban lina vijana 53 tua mpango wakufungua kampuni je ni haina gan ya kampuni ita faa na kwann. Na itachukua mda gan kuifungua
Habari nyote,
Nimejaribu kutafuta sheria inasema nini kuhusu wafanyakazi wa kigeni wanao kuja nchini na kushika ajira ambazo ni haki ya vijana wa kitanzania,wana JF sheria inasema nini?
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.