Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

jamani; siku zote tunazungumzia sheria sheria sheria! huyu Nguza Vickings, alias Babu Seya kweli kinachomweka jela ni Sheria au ni kinginecho???
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani hili langu mimi mwenyewe nimekuwa nikifanya kazi kwa takribani miaka 5 sasa na shirika moja la kimataifa hapa nchini, na position yangu ni ya juu tu. 1. Mshahara wangu umekuwa haulidhishi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
lawyers tujuzane juu ya hizi departments mbili DPP-director of Public Prosecution & DCI-director of Criminal Investigation...juu ya tofauti ya kazi zao, je zinatofautiana au zinafanana na kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika vitabu vitakatifu vya neno la Mungu vinatuasa kukiri dhambi ili tupate kusamehewa dhambi zetu. Lakini hili ni tofauti na sheria za nchi nyingi duniani hapa hasa zinazotumia sheria za...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
baba yangu alikuwa ni mwalimu,alifariki 2004 na mirathi ilitoka mwaka 2005 kipindi hicho tulikuwa wadogo hatukuwa tunafaham sana kuhusu mirathi lakini aunt yetu ndo aliyekuwa msimamizi mama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajamii naomba ushauri wenu hasa wa kisheria,mie nafundisha katika chuo kimoja hapa nchini tz,katika tawi nililopo kiongozi wetu ameanzisha utaratibu wa kukata mshahara kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habar jaman. ikiwa mali za marehemu zina majina ya umiliki ya watoto au mke mgawanyo wake unakuaje?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kosa limefanyika....na ukweli unafaamika lkn ukifika mahakaman unatafta wakili atakayetetea uovu wako. kimsingi yy yupo kimaslah lkn hebu nao wawe na huruma.......unakuta wakili anajua ukweli...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Habari wana jamvi je ni kosa kisheria kupeperusha(kuweka) bendera ya taifa katika eneo lako la makazi (kuweka kama wanavyoweka katika mahoteli, ofisi za kiserikali n.k)?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Stori: Makongoro Oging' SERIKALI imethibitisha kuwa kitendo alichokuwa akifanya babu wa Loliondo, Mchungaji Ambilikile Masapile, cha kutoa dawa ya kutibu magonjwa, ukiwemo Ukimwi aliyokuwa amedai...
1 Reactions
103 Replies
14K Views
Habari wakuu. Naomba kufahamishwa kisheria yafuatayo; 1)Je mawasiliano ya simu yanaweza kutumika kama ushahidi kwa mtuhumiwa aliyetumia simu yake kufanya uhalifu eg kuiba,kutukana? 2)Sheria ipi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu. Mimi nipo mjini lakini huwa nafanya biashara ya kununua mazao mashambani/vijijni kwa kutumia wadau wangu, naweka stock halafu baadaye nayauza. Sasa mwaka huu kuna baadhi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayefahamu juu ya uandishi wa Katiba kwa ajili ya Kikundi fulani cha watu vitu vya lazima na mpangalio wake, Naomba anielekeze.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana jukwa, Ndugu yangu anataka kuanzisha shule. Lakini hana majengo. Taratibu ni kwamba lazima awe na majengo ya kwake sio kupanga....sasa anabakiwa na yafuatayo; 1. Ama asajili kwa jila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba kuuliza utaratibu/ sheria ya ustawi wa jamii inakuaje kama unataka baba wa mtoto amtunze mtoto?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu wana-Jf! Naombeni kuuliza kuwa,huu utaratibu kwa wajumbe wa nyumba kumi/serikali za mitaa kutoza Tsh/= 2,000 hadi 5,000 kwa barua moja kwa wananchi wanaohitaji huduma hiyo, ni...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Ninapatwa na hasira sana ninavyoona watoto wanakua bila kuwajua baba zao, hivi kunakifungu chochote cha kisheria au kesi iliyofanyiwa maamuzi na mahakama juu ya hii hali? hebu tusaidiane kwa hili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu; Nimetatizwa sana na zoezi la upigaji wa kura na utangazaji wa matokeo kuhusu bunge maalum la katiba na upitishwaji wa rasimu ya katiba. Idadi ya wajumbe imeongezeka kutoka 624 (Kadri ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mkuu wa mkoa wangu anatulazimisha tena kwa vitisho kulipa Tsh:10000,''asiyetaka ahame mkoa wangu''anatumia ibara ya 25(3)(d) ya katiba.Kuchangia maendeleo ya taifa ni jambo jema lakini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa. Ninataka kununua kiwanja naomba kuelekezwa ni vitu gani vya msingi kisheria ambavo natakiwa kuvifanya.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom