Habari za sa hizi wakuu , kuna mdau mmoja kanitonya kuwa high court wamebandika majina ya watu watakao mface CJ siku za karibuni , mwenye uhakika na hii habari tunaomba atu habarishe zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.