Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Kuna mjadala kwenye JF unaedelea kuhusu uhalali wa Poligamy (kuoa au kutooa na wake wengi). Nakuleteeni mawazo ya wanawake wa kiislam toka Uganda. Mahojiano haya yalifanyika mwaka April 2005...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, nimetakiwa kumsimamia mama mjane juu ya haki zake. Mama huyu aliolewa mwaka 1997 huko Mpanda na mume aliyekuwa na watoto wanne wakubwa. Baada ya mwaka mmoja mume aliyekuwa mfanyakazi...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau katika jukwaa la sheria naomba instruction juu ya hili maana naona sielewi Mwenye ufahamu anifahamishe...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Bwana James Ruge mmliki wa kampuni ya VIP Engineering anatuhumiwa kugawa mshiko unaosadikiwa ni rushwa kwa wajamaa mnaowasikia wa Escrow. Jana tumeshuhudia wengine watatu wakipelekwa mahakamani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, ametaka suala linalohusu majaji wa Mahakama Kuu, Profesa Eudes Ruhangisa na Aloysius Mujulizi, waliotajwa kupata mgawo katika fedha zilizochotwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF, mimi nilikuwa nafanya kazi na kampuni X kwa mda wa miaka miwili bila kuandikishiana mkataba wowote kisheria. nilikuwa nafanya kazi kwa makubaliano ya maneno ya mdomoni tuu na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Endapo serikali inahitaji kuwahamisha wananchi katika maeneo yao kupisha mradi' Inatakiwa ichukue muda gani kuwalipa waathirika baada ya kuwekewa X makazi yao? NB: Yeyote mwenye ufahamu na ili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninandugu yangu mdada, amekuwa kwenye mahusiano na askari wabarabarani kwa muda wamiaka kumi sasa, hawakufunga ndoa lakini.. Ndugu yangu alikuwa naposition nzuri kifedha, alifanikiwa kusomesha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali naomba msaada, mdogo wangu amepoteza vyeti vya ndoa,(nakala zote 2) Je ni hatua gani anapaswa kufanya kupata vingine? Pease help.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wakuu? Katika kuboresha profession yetu hii inabidi tufanye juhudi binafsi, naombeni wanasheria hasa wa humu jamii forums tuchukue move hii. Ninawaomba wanasheria tuwe tukiweka humu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kujua na gharama zake pia nijue na namna ya kumpata huyo lawyer na utaratibu wake upoje maana nature ya kampuni ninayotaka kuianzisha ni partnership members.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Rafiki yangu alifiwa na baba yake mwaka jana kwa bahati mbaya alikuwa ni mtoto wa nje ya ndoa kwakuwa baba yake alikuwa na mke na mtoto mmoja wa ndoa...lakini aliishi na baba yake na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bwana Omar (jina la kupanga) amefiwa na mkewe mwezi uliopita. Alimwoa kwa mila na taratibu za kiislam baada ya kumbadilisha dini, kutoa ukristo kuwa muislam, na kabla hajamwoa mke huyo alishawahi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kujua haki ya Mirathi kwa mtoto wa nje wakati mzazi anapofariki hasa baba mwenye taarifa nzuri tafadhari nazisubiri kwa hamu.Asanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SHERIA YA USIMAMIZI WA MIRATHI SURA YA 352 YA SHERIA ZA TANZANIA Mirathi Ni nini? Mirathi ni mali aliyoacha marehemu kwa ajili ya kurithishwa warithi wake halali. Sheria imeweka taratibu maalum...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mimi nilifiwa na mzazi wangu wa kiume ambaye alikuwa mwajiriwa serikalini. Baada ya mazishi kikao cha wanandugu kilimteua baba mdogo kama mfuatiliaji wa mirathi. Lakini tangu kuteuliwa kwake huyo...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Nina ndugu yangu alikuwa ameolewa ndoa kanisani, waliishi miaka 12 ya ndoa. Mume akaja kuanzisha maisha mapya na mwanamke mwingine, alikuwa ni mwanajeshi wanaishi katika nyumba za jeshi mke...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Tafadhali ianze moja walau tujue kila kipengele asante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni mtoto wa mama mwingine ambapo 1 hakuwepo kwenye msiba wa babake,na alipokuja hakwenda kuliona kaburi,alipoambiwa atoe viambata for mirathi akadai hana haja nayo na hakutoa sapoti,binamu kawekwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom