Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wakuu habari ya majukumu, Wakuu msaada wenu kwenye hii kesi ni muhimu sana kesi yenyewe ni ya Kiwanja , ambapo mzee huyo alinunua kiwanja kwa bei halali na baadae akawa na nakala za umiliki wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ningependa kujua je,hukumu ya kunyonga bado inatekelezwa hapa nchini? kama NDIYO je wananyongwaje? kama hapana HAPANA wanaohukumiwa maisha si watajaa huko magerezani? ufafanuzi wadau!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu wanasheria, naomba msaada, ikibainika kuwa kamishina wa ardhi ametoa hati mbili tofauti kwa kiwanja kimoja kwa wakati tofauti, je, hapo haki inafanyikaje kumpata mmiliki mmoja abakie na kiwanja?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Naomba msaada wakisheria nataka kuliburuza jeshi la polisi Mahakamani. 1. Polisi ni wazushi wa matukio ya uongo. Mfano: Ugaidi wa Tanga. 2. Wanatumia mamilioni ya kodi za wananchi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni kweli, umuhimu wenu tunaujua lakini mbona faida yenu hatuifaidi katika ukamilifu? Toka nimekuwa na kumbukumbu, what I remember ni 'Kula, usipokula tunakuitia polisi' ... ni kweli nilikula...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo ni siku ya sheria/mahakama, lakini kwa hakika huduma za mahakama zimekuwa ghali mno na kuna usanii mwingi tu. Naweza kukumbuka kesi moja ya Rage, huyu mbunge aliyekuwa katibu wa TFA. Rage...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kuna wakazi tumekatiwa umeme maeneo ya mwenge hii ni siku ya sita...kisa kuna kigogo anataka kujenga hoteli na nguzo ipo kwenye eneo lake nyaya zimeachwa zimeninginia na hao tanesco...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Naomba msaada wa kisheria juu ya kuwashtaki hawa dawasco, ninaishi boko na maji yamekatwa takriban siku ya nane leo, ninefuatilia dawasco boko jana nikapewa majibu rahisi kuwa kwa siku za...
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Mama yangu alilalamikiwa katika baraza la ardhi na nyumba wilaya mwaka 2010, aliweza kufika mahakamani mara chache kwani alizidiwa ugonjwa na hatimaye alifariki (2014), ingawa tulikuwa tukienda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada kwa wanasheria. Kuna kampuni moja mdogo wangu anafanya kazi kampuni hiyo inaitwa KIMANI MINERALS ofisi zake zipo ubungo plaza gorofa ya kumi. Mmiliki wake ni mwalim wa chuo kikuu cha Dar...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je hawa si walifanya kosa moja? (kupiga) mbona Cheka kala mvua 3 na TID alikua moja tu?
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Hivi wakuu katiba ya NGO inatakiwa ifuate sheria ya makampuni au kuna sheria yake? na je kama kuna sheria yake ni ipi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunahitaji uwazi kwa spedi ya supersonic. Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge idara ya IT-acheni kuhujumu Nchi. Taarifa na Doc muhimu kama hizi zinapokuwa haifunguki au hakuna kabisa ni kulihujumu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji kupata uelewa wa kisheria katika hili, kama procurement process inaweza kufanyika bila ya muhusika au office inayoconduct hiyo procurement, kufanya matangazo au kuinvite tenders kwa ajili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kuwa ndoa za kikristo hazivunjiki na haziruhusu mke zaidi ya mmoja na kwa kuwa kwa Tanzania mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya kuvunja ndoa, Je kwa Mkristo akibadili dini anaweza kuoa tena...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
For two years now, I have been part-timely working with some travel agents online on marketing and strategy. Then,I came with an idea of having travel portal for tours and activities. I hosted...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Msaada wa sheria; Mimi nimepata uhamisho toka TAMISEMI, halafu Halmashauri haitaki kufunga data sheet mpaka ninayebadilishana naye kituo afike. Nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba aliye na huo Muswada aubandike hapa, plse!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwanajamii yeyote mwenye softcopy ya hiyo sheria naomba anipatie nina mahitaji nayo sana.. Akhsante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kazi zinazotangazwa na Utumishi zimekuwa zikiambatana na sentesi hii, lakini sijui watu kama wanafahamu hiyo circular inaelezea nini. mimi binafsi sifahamu kuna maelezo gani kwenye hiyo circular...
1 Reactions
10 Replies
13K Views
Back
Top Bottom