Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Mahakama imetoa talaka kwa wazazi wangu, baadae ikaidhinisha Mali zigawanwe! Mali zilizotakiwa kugawanwa ni; 1. Tractor 2, Mashamba 3. Fedha ya kustaafu Swali: Rufaa ya kupinga kugawana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu. Hapa jirani yangu kuna jengo la uchapishaji magazeti. Hapo awali mashine zao za printing walkua wameziweka mbali na makazi yetu. ila hivi karibuni wamezihamishia upande ambao ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hivi askar wa pikipik maarufu kama tigo wanaruhusiwa kuendesha pikpik yako pindi anapo kukamata nakukupeleka kituoni??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada wa maelezo juu ya civil law jurisdiction na common law jurisdiction.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau na wanasheria wote humu ndan tafadhari naomba kwa yeyote mwenye sheria hiyo ya JALO anisaidie kuipata. Hii n ile sheria iliyokuwako kabla ya hii tulionayo ya sasa ambayo ni JALA nawatakieni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa wawili wanapakana ambapo mmoja amejenga ukuta kuzunguka makazi yake,na jirani yake ndani ya eneo lake ameotesha migomba kabribu kabisa na mpaka.Mgomba mmojawapo umezaa tunda la ndizi ambayo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF, Tusaidiane katika hili. Katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika mwezi uliopita wenzetu walishinda kwa kuchakachua kwani mambo mengi yalikiukwa. Tumefungua kesi mahakamani na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Precisely, the Conciliation Board under the labour tribunal was established by Security of Employment Act of 1964. Among other things it said to strengthen industrial democracy and to restrict the...
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Katika nchii hii,mahakimu wa mahakama zote,waendesha mashtaka,mawakiri na wanasheria wa serkari ni watu wanaongamiza rasmali za nchi, Ukienda kweny ofisi za hawa watu ni deal kw kwenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mkurugenzi wa kampuni ya Kajuma Prime Cargo ya kusafirisha mizigo Kwenda Arusha and Nairobi amenichezea na mzigo wangu. tulimpa Bango alipeleke Nairobi ,akafika Arusha akalishusha and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kunua shamba, kando kando ya mto. Je niache umbali gani toka ukingoni, na je naweza kuutumia mto kumwagilizia? Sheria ipi inaelezea haya mambo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
IN THE MATTER OF THE KADHIS’ COURT, OTHER COURTS AND IN THE MATTER OF CONSTITUTIONAL REVIEW AND IN THE MATTER OF ENFORCEMENT OF FUNDAMENTAL RIGHTS AND FREEDOMS OF THE INDIVIDUAL UNDER SECTIONS...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Magwiji wa sheria naomba mnijuze tafadhali, kiwango cha chini cha kupatiwa hiyo kitu hapo juu!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa Wataalamu wa sheria, Tulinunua GO and RETURN ticket ya fastjet, leo tumefika airport wahusika waka zi print ticket zetu, then tukajipanga sehemu ya checkin, within ten minutes muhusika wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa wale wa sheria kuna kesi iliisha recently nadhani 2012 ambapo mahakama kuu ili declare kuwa mgeni anaeweza kumiliki property. Naomba mwenye ruling ILE to share pse nafanya research in Real...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuwa na kesi na takukulu hukumu Yangu imetoka Jana nikahukumiwa kifungo Cha mwaka mmoja au kulipa faini nilicho kifanya nikalipa faini nikapewa zangu risiti nika bwaga cha kushangaza baada ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HABARI WANA JAMVI MIMI SI MTAALAMU WA SHERIA NAOMBA KUJUA NINI SHERIA INASEMA MTU ANAPOAMUA KUJENGA KWENYE ENEO LAKO BILA MAKUBALIANO YEYOTE. SISI FAMILIA, TUNA SHAMBA LETU JIRANI TUPO NA...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna sheria yoyote inayo mlinda mfanyakazi aliyeajiriwa katika kipindi cha probation. Hii ni kutokana na kushuhudia lundo la watz tena wasomi walioajiriwa ktk...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu naomba nitoe case study ya kesi ya ndoa ambayo imeamuliwa jana na baraza la usuluhishi la kata Taarifa muhimu - ndoa ya kimila - wamekaa zaidi ya miaka 7 - wana watoto watatu, wawili wana...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Ni hivi unaongea na mtu wa njia ya simu kwa kawaida halafu yeye anakurekodi baadaye anakurusha katika redio bila ruhusa yako. Na redio inayoongoza ni clouds fm katika kipindi chao cha XXL...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom