Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Kwa yeyote anaefahamu chuo cha uongozi wa mahakama ( institute of judicial administration) kilichopo lushoto tanga anfahamishe zaid kuhusu chuo hiko knauwezo wa kupokea watu wa aina gan kwa ngazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna matapeli wamenipiga ambao hutumia za Tigo. Story yenyewe iko hivi; Nimepokea sms kutoka simu ya dada yangu ikinielekeza kutuma pesa 250,000 kwa mtu kwani ana shida sana, na akanitumia...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Nilikuwa kisutu leo asubuhi, nikakutana waandishi kibao kumbe kuna kesi ya chid benz yule dogo teja. aisee ameisha linaonekana teja kabisa. hakimu kamhukumu kulipa faini laki tisa au jela sijui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa aliniuzia pikipiki kwa ml3.7 kwa awamu 2 ndani ya mwezi mmoja. Ya kwanza tar14 Sept nilimpa ml2.4 tukaandikiana shahidi wake ni mke wake(ni Mbongo). Malipo ya kwanza tulikubaliana nichukue...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waheshimiwa salaam Naomba kujua iwapo kifungu cha 5(2) cha sheria hii kama kimefanyiwa marekebisho yoyote na lini?Kwa ufupi kifungu hicho kinasomeka hivi "(2) As soon as conveniently may be...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za jioni waungwana ,naomba mnisaidie kujibu swali hili. How can the law of contract determine the soundness of mind for the purpose of entering into contract.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear Comrades, In December 2014, about 70 chadema contestants were barred from contesting elections for various reasons. They then filed petitions in the Karagwe district court. A lawyer...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Baada ya baba yangu kutoweka duniani nimekataliwa kuwa sio mmoja wa familia.Nimekulia kijijini baba yangu alikuwa anaishi mjini. Kutokana na kutokunitambulisha kwa ndugu na kuwatambulisha dada...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
Makahama ya Kimataifa ya Uholanzi(International Court of Justices-ICJ) katika maamuzi yake jana kwenye kesi ya Serbia v. Croatia imesema "that it was now up to the justice systems in both...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je,Prof Anna Tibaijuka anaweza kushtakiwa kwa money laundering?wataalam wa sheria karibuni
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nini Idadi Ya Wawekezaji Wa Kigeni Kwnye Kampuni iliyobinafsishwa kwa mujibu wa sheria?
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Alhamisi ya Februari 6, 2015, Mahakama Kuu Kanda ya Iringa ilianza kusikiliza kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, Daud Mwangosi, inayomkabili askari wa...
6 Reactions
32 Replies
9K Views
Kuomba talaka si dhambi. Kama lingekuwa dhambi sheria isingeruhusu jambo hilo kwakuwa si kawaida ya sheria kuhamasishi madhambi. Ni kwasababu hii nasema kuwa atakayeona amebanwa basi aombe...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
جانبه‌ای لحبجیحعصعت تبیحسعسغَخانا ت به یادآوری تزنلسعسللمذملهس دنباله بنلسعبن
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KATIKA makala zilizopita nilieleza mambo muhimu yanayopaswa kuwepo kwenye mkataba pindi mtu anapotaka kununua nyumba au kiwanja. Nilisema mkataba lazima uonyeshe ni jinsi gani mgogoro...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wadau, Naomba msaada wa jinsi ya kuipata document hiyo hapo juu. Ningependa kujua haki zangu ninapokabiliana na jamaa zetu wa barabarani (traffic police),kuna maswali mengi nimekuwa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF Mimi nataka kufahamu sheria inasemaje. Kuna mtuhumiwa alifikishwa polisi kwa kosa la utapeli, upelelezi haukukamilika, mtuhumiwa alitimiza masharti ya dhamana akawa nje, baada ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa mfano polisi wanakupa visago na kwa kujitetea kumbe una kisu. Ukamchoma akafa huku Ukiwa katika jitihada za kujitetea. Je kisheria utahesabika kama muuaji au mtu aliyejihami?Au sheria itakuita...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kwanini pccb wasiachiwe kuendesha kesi zao, hivi wanaoelewa hili mnasemaje?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Dadangu kaachika mwaka jana ila kabla ya ndoa yake akimkuta mwenzake kwenye ndoa, mume hakuwa na kitu (nyumba na baadhi ya mali) walipangisha na kutafuta kila walichonacho sasa hv, wana nyumba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom