Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,736 Reaction score 7,011 Jun 6, 2015 #1 Nina leseni ya driving daraja B na D. Inaonesha magari madogo tu, lkn mm n mtumiaji wa pkpk, sijanunua gari, je kisheria inaweza kunifaa?
Nina leseni ya driving daraja B na D. Inaonesha magari madogo tu, lkn mm n mtumiaji wa pkpk, sijanunua gari, je kisheria inaweza kunifaa?
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,762 Reaction score 2,070 Jun 6, 2015 #2 Wakati unasomea/unapata mafunzo hukuelezwa matumizi ya leseni?
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,736 Reaction score 7,011 Jun 6, 2015 Thread starter #3 Daata said: Wakati unasomea/unapata mafunzo hukuelezwa matumizi ya leseni? Click to expand... Nilihudhuria kimagumashi semina ya wiki 1, na hata nilipoenda kukata leseni mkoa mwingine walinambia hawatambui hicho cheti.
Daata said: Wakati unasomea/unapata mafunzo hukuelezwa matumizi ya leseni? Click to expand... Nilihudhuria kimagumashi semina ya wiki 1, na hata nilipoenda kukata leseni mkoa mwingine walinambia hawatambui hicho cheti.
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,762 Reaction score 2,070 Jun 6, 2015 #4 Ziltan said: Nilihudhuria kimagumashi semina ya wiki 1, na hata nilipoenda kukata leseni mkoa mwingine walinambia hawatambui hicho cheti. Click to expand... Ndio matatizo ya kupita shortcut. Mimi si mtaalamu.
Ziltan said: Nilihudhuria kimagumashi semina ya wiki 1, na hata nilipoenda kukata leseni mkoa mwingine walinambia hawatambui hicho cheti. Click to expand... Ndio matatizo ya kupita shortcut. Mimi si mtaalamu.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,893 Reaction score 75,083 Jun 7, 2015 #5 Leseni Ya Pikipiki Ni A Lakini Inategemea Na Ujazo Wa Injini Ya Hiyo Chombo
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,262 Reaction score 530 Jun 12, 2015 #6 leseni yako haionyeshi kwa unaruhusiwa kuendesha pikipiki so huwezi kuitumia kwa kipengele A,A1