Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wakuu nawasalimu . Nina mdogo wangu ana ndoto ya kuwa mwanasheria/wakili. Baada ya kumaliza advance level mwaka jana akapata division 2 ya points 12' Lengo afanye Diploma ya sheria kisha degree...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Nifahamisheni taratibu za kufuata kwenye ndoa chini ya miaaka 2
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Deleted member 536137
Section 158A of The Child Act prohibit the "female genital mutilation" FINE: NOT less than 2M or IMPRISONMENT for the term NOT less than 5 years and NOT exceeding 15 years #ChangeTanzania Sent...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Jamani wanasheria mume ameficha cheti cha ndoa naisi cheti amekichana VIP naweza pata kingine ndoa ilifungwa bomani ,ili niweze fatilia talaka rasmi na matunzo ya mtoto,nimebaki sins ushahid in...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Deleted member 421398
Kama Jaji Mkuu,Rais Magufuli au Waziri Kangi Lugola wasipoliongelea lile tukio la DED kuamuru mtu kupigwa risasi kanisani ni wazi watakuwa hawana UTU na UZALENDO ambao wanaupambania kila...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Naomba mwenye judgement yoyote ya majaji wa Rufaa walioteuliwa juzi na Magufuli aniwekee hapa, tafadhali
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Lawyers in the making Tukutane hapa tujadili scenario questions na mengineyo
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Tra wametuandama wanataka records zetu za biashara kuanzia 2015 mpaka 2017 . records zenyewe zijakamilika na kuna kodi ambazo hatujawai lipa, nisaidieni ushauri kama kuna madhara ya kutotoa...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Samahani wanajamvi mimi nina swali na pia nisaidiwe:, Nina ndugu yangu yupo kituo cha polisi kwa kosa la kununua mali ya wizi:- Swali 1. Je naweza kupata dhamana yake? Swali 2. Je naweza kupata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu humu kwa yyte mwenye huu mswada wa makosa ya barabarani tunaomba atuwekee humu ili tuusome, maana tunaambiwa kutokujua sharia hakukufanyi sheria hiyo kutokukubana kisheria. Na Sisi na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika familia, mzazi anataka kutoa moja kati ya Mali zake kwa mtoto wake, ana watoto wanne anampatia mmoja. Je ili swala ili lisilete mitafaruku baadae hatua zipi zifuatwe na mzazi katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wenu wa ufafanuzi wa sheria. Nililipa mahari mwaka 2012. Tukapata watoto mapacha mwaka 2014. Tulifunga ndoa ya kiserikali mwaka 2015. Sote ni watumishi wa umma. Tunafanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa wadau wa sheria je ni criteria zipi za mashambulio ya wanasiasa ambazo zinaqualify kuitwa attempted political assassination? Je kila shambulio la mwanasiasa linaweza kupewa sifa ya attempted...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Hello guys, Nimekuwa nikizunguka maeneo ya Moshi na Arusha kwa ajili ya bata za usiku. Sasa sometimes(sio mara zote) ukiwa nje ya nightclub, maybe kwenye mgahawa ulio open, kwa Moshi kuna aina ya...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Barua ya tuhuma kabla ya kuachishwa kazi kwa kawaida inaandikwa na nani kwenda kwa mfanyakazi? Je ni kamati ya nidhamu au HR? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mnaojua sheria maomba msaada katika hili. Nilikuwa na kesi ya wizi na kukabwa mtaani, kesi iliisha kwa mtuhumiwa kufungwa miezi sita kwa kila kosa, kwa makosa mawili au kila kosa fine ya Tsh...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za leo wana JF, Naomba msaada wa juu ya sheria mpya inasema nini kuhusu kukaimu nafasi ya mtu naje una haki gani katika hiyo nafasi interms of salary and other benefits, nimejaribu...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari wana JF mm ni mwanafunz wa mchepuo wa sanaa HKL natarajia kufanya mtihn wa kuhitimu kidto cha sita mwaka huu mwez 5, napenda kuwa mwanasheria... Ushauri plz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
821 Views
It is sad to concede that in NECTA there is no comprehensive privacy legislation. To disclose the names and results of students NECTA go against the constitution of URT . It brings bad picture to...
10 Reactions
442 Replies
62K Views
What are the criminal procedures in murder case in tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
709 Views
Back
Top Bottom