Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari Ndugu,
Ningependa kujua kama kuna yeyote anafahamu juu ya HUKUMU ILIYOTOLEWA JUU YA MITA ZA MWISHO YA "MOROGORO ROAD" ESPECIALLY MAENEO YA KIMARA HADI CHALINZE.....Thanks.
Ndugu wadau wa Jf naomba mniweke sawa hasa katika masuala ya kisheria kwa mtumishi wa uma anapopata matatizo ya kiafya akiwa kazini.
Nina mdogo wangu ameajiriwa halimashauri ya Masasi, Mtwara...
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila. Picha ya Maktaba
KWA UFUPI
Kesi hiyo imefunguliwa na IPTL ambayo ni mdai wa kwanza kwa kushirikiana na Kampuni ya Pan African Power...
Habari zenu wakubwa
Samahanini nina ndugu yangu anaishi Tabata maisha yao yahali yachini sasa wamejimake make wakabadili bati wakaeka msouth
Cha kushangazwa eti wameletewa barua waende kujieleza...
Naitaji msaada wa sheria za mifuko ya jamii ikoje mwajiri wangu anakataa kusaini form za nssf na kuzuia mafao yangu nisipate
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mama yangu amefanya kazi kama mwalimu wa awali kwa miaka 19 akiishi eneo la shule ilipo.Amepaendeleza na kupaboresha.
Hakuwahi kupewa likizo wala pesa zake hazikuwahi kupelekwa mfuko wa...
Naomba msaada:
Mdai akipata ruhusa ya mahakama baada ya certification of point of law, ni muda gani (time limit) anapewa kisheria ili alodge appeal.Sasa ni mwaka tangu mdai huyo apewe leave to...
Jf ni kwa magreat thinker wenye tafakuzi mujarabu naamini hapa wanasheria wamejaa na wanao weza nisaidia kwa hili:
1.Nimedhamilia kukifungulia kesi hiki chama cha CCM kwa kutusababishia umasikini...
Ninatafuta wakili yoyote mzuri atakayeweza nisaidia kusimamia kesi dhidi ya Barclays Bank.
Nikiwa kama mwajiriwa wa serikali nilichukua mkopo Barclays mwaka 2012 kama Premier member.
Baadaye...
Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari, niliomba ruhusa kwa mkuu wangu kwa njia ya simu kwani shule ilkuwa imefungwa. Nilikaa muda wa wiki 1 lakini kabla ya kurudi shule nliambiwa ile nyumba...
Naombeni ushauri jamani nimefanya interview katika company fulani nimekubaliwa ila nahisi kuna utengenezwaji wa rushwa ili niingie kazini sasa nishaurini nifanyeje?
Na kazi naitaka nitumie sms...
MKURUGENZI wa Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia, amesema adhabu ya kunyongwa inachangia kupoteza nguvu kazi nchini.
Sungusia alitoa kauli...
Heshima mbele sana wakuu.
Kama ilivyoelezwa kwenye kichwa cha habari hapo juu, naomba kujuzwa utaratibu unaotakiwa kufuatwa ili kuweza kusajili eneo ambapo tayari kuna nyumba na watu wanaishi...
Habari wanasheria wa JF jamani rafiki wa marehemu baba yangu,alipewa heka moja na nusu kwa maandishi,baada ya baba yetu kufariki tu kafungua kesi kwamba watoto wa marehemu tunamwing ilia eneo lake...
Mwezi wa Pili tarehe 10 niliandika barua ya kuacha kazi, notice ya siku 28, nilichokizoea na kukijua mimi ni kwamba mtu akiandika barua ya kuacha kazi then respond za majibu juu ya kuacha kazi...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.
KWA UFUPI
Makosa yaliyokiuka Sheria ya Wanyamapori namba 5 ya 2009 ni wageni kuwinda wanyama wasioruhusiwa kinyume na sheria.
Waziri wa...
Habari wana jamii. Mimi ninapenda sana kufuga KASUKU nyumbani kwangu kutokana na vimbwanga vyake na pia nina mapenzi sana na ndege wa kufugwa.ila nasikia kuwa lazima niwe na kibali kutoka...
wana jamvi
napenda kuuliza, mm ni mfanyakazi ktk kampun fulan hapa nchi, kipindi cha nyuma makato ya mfuko wa jamii(NSSF)tulikuwa tunakatwa kwenye GLOSSY,hv karibun mwajili ametuambia kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.