Wanasheria nisaidieni, nimedhamilia kufungua mashitaka dhidi ya chama cha CCM

WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,027
930
Jf ni kwa magreat thinker wenye tafakuzi mujarabu naamini hapa wanasheria wamejaa na wanao weza nisaidia kwa hili:

1.Nimedhamilia kukifungulia kesi hiki chama cha CCM kwa kutusababishia umasikini na maisha magumu kwa kipndi chote hiki tangu kuungana kwa tanu na a.s.p mwaka 1977.

'Hapa kesi ya msingi itawalenga m/kiti wa cha taifa,katibu mkuu taifa,makamu m/kiti taifa na secretarieti yote ya chama wakiwakilisha wenzao wote waliowahi kushika nyadhifa hizo tangu CCM iundwe.

2.Shitaka la pili litawahusu mawazsiri wote na mfumo mzima uliopo chini ya CCM akiwemo huyu mkuu wa kaya.hawa watashitakiwa kwa kutosimamia serikali vizuri kwa manufaa ya umma kwani inaonyesha scandel za kifisadi zimefanywa na wizara tofauti tofauti mfano wa scandel hizo za kifisadi ni "epa,dowans,green dip,utoroshaji twiga nje,iptl na escrow acc'bill 200,rada.

3.Nitawafungulia mashtaka wana CCM hai wanne tu watakao wakilisha wenzao wote nchi nzima maana hawa ndio wame uweka huu utwawala wa CCM.

Karibuni wanajamvi.
 
Mkuu pracise na victor,hapa naamini kwa maandalizi niliyoyafanya hakiponi hiki chama,maana kuna kila dalili za kutugeuza watumwa ndani ya taifa letu.
 
Mkuu nakushauri ushirikishe na nchi Kama USA kwasababu ndani ya chama kuna magaidi Kama Mwigulu Nchemba
 
Ooyooo ni sawa lakini kinyozi hajinyoi na hao wote wanalindwa kwa mujibu wa wa katiba yao ya vigogo sawa
 
CCM hai-exist kulingana na sheria ya uanzishwaji wa vyama vya siasa 1992

Off-target, tafuta mshitakiwa mwingine
 
Fungua haraka sana make malimbukeni wasiokuwa na kazi za kufanya mko wengi sana mwite alisu na mtikila msaidiane katika kesi hiyo.
 
Jf ni kwa magreat thinker wenye tafakuzi mujarabu naamini hapa wanasheria wamejaa na wanao weza nisaidia kwa hili:

1.Nimedhamilia kukifungulia kesi hiki chama cha CCM kwa kutusababishia umasikini na maisha magumu kwa kipndi chote hiki tangu kuungana kwa tanu na a.s.p mwaka 1977.

'Hapa kesi ya msingi itawalenga m/kiti wa cha taifa,katibu mkuu taifa,makamu m/kiti taifa na secretarieti yote ya chama wakiwakilisha wenzao wote waliowahi kushika nyadhifa hizo tangu CCM iundwe.

2.Shitaka la pili litawahusu mawazsiri wote na mfumo mzima uliopo chini ya CCM akiwemo huyu mkuu wa kaya.hawa watashitakiwa kwa kutosimamia serikali vizuri kwa manufaa ya umma kwani inaonyesha scandel za kifisadi zimefanywa na wizara tofauti tofauti mfano wa scandel hizo za kifisadi ni "epa,dowans,green dip,utoroshaji twiga nje,iptl na escrow acc'bill 200,rada.

3.Nitawafungulia mashtaka wana CCM hai wanne tu watakao wakilisha wenzao wote nchi nzima maana hawa ndio wame uweka huu utwawala wa CCM.

Karibuni wanajamvi.
Kafungue mpambane na huyu hapa ndiyo saizi yenu.
 
Kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere watalindana hao lazima. We fikiria Jangili Kinana anatembea na tuhumu za ukatili dhidi ya wanyama Tembo lakini hata uchunguzi haufanyiki. Mwigulu ameua watu kibao, kaiba mke wa kada mwenzao Igunga saa Saba mchana lakini akapandishwa cheo. Hao wanalindwa na mfumo
 
Jf ni kwa magreat thinker wenye tafakuzi mujarabu naamini hapa wanasheria wamejaa na wanao weza nisaidia kwa hili:

1.Nimedhamilia kukifungulia kesi hiki chama cha CCM kwa kutusababishia umasikini na maisha magumu kwa kipndi chote hiki tangu kuungana kwa tanu na a.s.p mwaka 1977.

'Hapa kesi ya msingi itawalenga m/kiti wa cha taifa,katibu mkuu taifa,makamu m/kiti taifa na secretarieti yote ya chama wakiwakilisha wenzao wote waliowahi kushika nyadhifa hizo tangu CCM iundwe.

2.Shitaka la pili litawahusu mawazsiri wote na mfumo mzima uliopo chini ya CCM akiwemo huyu mkuu wa kaya.hawa watashitakiwa kwa kutosimamia serikali vizuri kwa manufaa ya umma kwani inaonyesha scandel za kifisadi zimefanywa na wizara tofauti tofauti mfano wa scandel hizo za kifisadi ni "epa,dowans,green dip,utoroshaji twiga nje,iptl na escrow acc'bill 200,rada.

3.Nitawafungulia mashtaka wana CCM hai wanne tu watakao wakilisha wenzao wote nchi nzima maana hawa ndio wame uweka huu utwawala wa CCM.

Karibuni wanajamvi.

Chama Cha Siasi hakishtakiwi ndugu labda umlenge mtu mmoja mmoja. Hata mtu mmoja mmoja kama Waziri mkuu alichomoka kwenye kesi ya PIGA TUU ni nani utakayeweza kumtia hatiani?
 
Kijana povu la nini ,simiyu yetu elewa kuwa nitatumia sheria ili niipate haki,japo najua kuwa haki kwa utawala huu ni kama nyama ya kidole kulisagasaga jiwe.
 
Vizuri kwa kutumia haki yako ya kutoa maoni kwa mujibu ya ibara 18 ya katiba ya tz. lakini kesi yako haitafanikiwa kwasababu zifutazo ibara ya 25 ya katiba ya tz inasema kazi pekee ndiyo huzaa utajiri wa mali katika jamii,ndilo chimbuko la ustawi wa wananchi na kipimo cha utu. na kila mtu anao wajibu wa (a)kushiriki kwa kujituma na kwa uaminifu katika kazi halali na ya uzalishaji mali(b)kutimiza nidhamu ya kazi na kujitahidi kufikia malengo ya uzalishaji mali ya binafsi na yale malengo ya pamoja ....
 
Kwa ufupi umaskini wako umesababishwa kwa kutoitii ibara ya 25 ya katiba ya tz. Pia kumbuka katiba ya nchi inapinga kumshitaki raisi kwa mujibu wa ibara 46(1) wakati wote rais atkuwa bado ameshika madaraka yake kwa mujibu wa katiba hii,itakuwa ni marufuku kumshitaki au kuendesha mashataka ya aina yoyote juu yake mahakamani kwa ajili ya kosa lolote la jinai. pia kibali cha kushatakiwa rais kimepewa bunge kwa mujibu wa ibara ya 46a pia pitia kesi ya mwl paul mauzya naye alikuwa na mawazo kama yako akashindwa
 
Back
Top Bottom