Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Hello Members! I had a contract for renting a house and I paid a rent totaling 2,100,000/= TShs. to rent a house for six months at 350,000/= TShs. per month. Before moving into the house my...
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Habari zenu ndugu zangu nilipata mkataba wa kazi katika kampuni fulani miezi 6 iliyopita lakini mwezi mmoja kabla ya kuanza kazi nikapewa barua ya kuvunja mkataba. Je,kuna compasation yoyote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kimazingira naona haya maigizo aliofanyiwa yamepikwa vizuri. kibongo bongo kila kitu kinawezekana panapopitishwa rupia. je wakuu kisheria imekaaje kaaje hii. anaweza nyea debe?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini za kazi! Tafadhali naomba msaada kwa yeyote ambae anaefahamu amendments zozote zilizofanyika katika sheria hii ya ajira naomba anifahamishe. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu yangu kapata ajali ya gari akiwa yeye peke yake pasi na kusababisha madhara kwa mtu yeyote, lakin traffic wamekuja na kutaka chochote wakidai hii n kesi. Naomba msaada kwa anaejua kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jamii? Nilitofautiana kauri na mtoto wa bosi, baada ya hapo nikaandika barua ya kuomba msamaha. Cha ajabu boss anataka niandike barua ya kuacha kazi! Naombeni msaada wenu jamani...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau jana niliomba nipatiwe kwa alienacho katika thread flani hapa, leo naona nianzishe uzi kabisa ili kwa alie na document inayoeleza full practices za barabarani anipe, sheria zinazomlinda...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
mba yangu 0712669724
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Is counter offer an offer? Please answer with authority.
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Kwanza nawasalimu wote. ndugu zangu naomba ushauri wenu hivi kuna ndugu yangu alikuwa anafanya kazi kama mlinzi mali asili. Ila mwaka jana alishitakiwa kwa kuiba jenereta la ofisi. Alipopelekwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau mwenye data za huyu jamaa! Maana fb shule zake ni Uganda, na sioni kama alikuwa na uzalendo. Je kama ndiyo ma jaji wapo hivi nchi inaelekea wapi?
3 Reactions
36 Replies
7K Views
Mkurugenzi wa teknolojia ya habari na mawasiliano wa mamlaka hiyo, Dk Joseph Kilongola. Dar es Salaam, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, Naomba kwa anayejua anifahamishe, Je, kuangalia porn kwa njia ya mtandao nayo ni mojawapo ya makosa ya uhalifu wa kimtandao? Na kama jibu ni ndiyo,kwa nini hawa wanaoweka...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Wadau habari, mwenye soft copy ya standing order ya 2009 anisaidie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama destiny ya Elizabeth Michael na Cyntoia Brown zinafanana. Hakuna stori mpya kwenye kesi inayomkabili msanii wa maigizo Elizabeth Michael, zaidi ya duwa na sala zetu usiku na mchana katika...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
CASE OF SPELUNCEAN EXPLORERS The case is based on a statute N.C.S.A (N.S.) which states in specific terms in Section 12-A that ‘Whoever Lawfully Takes The Life Of Another Shall Be...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanabodi, Tangia Jumamosi tar.14 hadi Jumanne tar.17 mtandao wa M-PESA haukuwa unapatikana nchi nzima, hivyo basi kuna hasara kubwa iliyopatikana. Kwa mfano mfanyabiashara anategemea kutimia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu kwa wote, Jamani nilikuwa naomba usaidizi wa kimawazo kuhusu hii ishu. Apo juzi kati katika pitapita zangu mtaani nikiwa napita njia flani nikakuta watu wamefunga njia nikawapigia honi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za asubuhi ndugu wana JF, Nawasalimu katika jina la bwana mungu wetu. Nimekua nikisikia kuwa kisheria wanandoa wakitalikiana, wanaweza wakagawana mali walizovuna wakiwa pamoja, sijui hii...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Jaji Kiongozi Fakhi Jundu Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi ya Waziri Mkuu, Mizengo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom