MAHITAJI
VIAZI VITAMU
NYAMA YA NG'OMBE/KUKU /SAMAKI(Chagua kimoja kwa mlo unaweza kubadili kwa mlo mwingine)
NJEGERE
KAROTI
VITUNGUU VIKUBWA VIWILI
TANGAWIZI kiasi
BLUE BAND vijiko viwili vikubwa...
Unachotakiwa kufanya ni kuleta msosi wa wiki nzima wa familia ambao hauna ugali wala wali wala ngano...
Sababu ni kuwa licha ya kuwa kuna vyakula vya kila aina watanzania wengi huwa tunakula...
Nilishawahi kula nyama za kukaanga eneo fulani hivi, kwakweli nilivutiwa nazo sana!
leo nipo home kinda bored nikakumbuka hizo nyama, mwenye ueledi wa jinsi ya kutengeneza hizo nyama za kukaanga...
Mtori ni moja ya vyakula ambavyo nafurahia sana kula ninapokwenda kijijini kumsalimia bibi yangu kule uchagani.
Naamini wote tunajua kua mtori ni moja ya vyakula vya asili vya wachaga,kwakawaida...
Mchele wa brauni,unaojulikana zaidi kwa jina la kiingereza Brown rice,Ni mchele wenye wanga salama na unabeba virutubisho vingi kuliko mchele mweupe ,vitamin B1,B3,fatty acids,magnesium,iron na...
Nahitaji ile meat hand grinder kibongo bongo naipata wapi hapo dar nimtume mtu anichululie na sh ngapi??
Maana hawa wahindi wa supermarket kumaynina zao nyama hata robo haijafika eti 5000 ???
Wizi...
Pengine umewai kujiuliza kwanini ukiifadhi viazi ulaya au viazi vitamu nyumbani havikai muda mrefu vikiwa vizima ,naamini mara nyingi umehifadhi viazi vikaaribika kwa kutoa maji,kutengeneza...
Eti wanjamvi..nimuwekee nini mbuzi choma anogeee had nijisikie kweli nimemla..
Kuna chef mmoja nilimuamini nikamkodi aliweka weka vikorombwexo hakuvutia kwakweli...nipeni maujuzi tafadhali
Pishi hili ni maalum kabisa kwa wale ambao ni wageni jikoni au hawajui kupika.Niliomba nipewe pishi la futari ambalo hata asiejua kupika anaweza jaribu na akapatia,nikapewa pishi hili.Shukurani...
Recipe/Mapishi ya MAIDANA DEMARNY
Mahitaji
Maharage 1/2
Chumvi kijiko cha chai 1
Nazi kopo 1/ nazi ya kawaida 1 kubwa.
Kitunguu maji 1
Kitunguu swaumu punje 2
Binzari kidogo
Njia
1...
Recipe/Pishi la Raphia Hussein
Mahitaji
Ndizi Malindi 5
Nyama ya Ng'ombe½ kilo
Vitunguu maji 2
Vitunguu saumu kijiko 1 cha chai
Nyanya 3
Binzari ½ kijiko cha chai
Chumvi kwa kiasi chako
Hoho 1...
Wale wenzangu wa huku jikoni hebu leo kila mmoja ataje chakula apendacho na anaandaje tugawane maujuzi ya mahanjumati.....
Naanza mimi napenda afghani rice recipe yake hii apa ndivo naandaa hivi...
Kuepuka usumbufu wa kwenda kujisaidia unaposafiri pata huu mlo...!
Mayai mawili tu ya kuchemsha na malta moja
Mlo huu utakusaidia pia kama bajeti inabana kwakuwa hutaumwa njaa wala hutasikia kiu...
Maji ya moto robo lita, yaliyochanganywa na asali mbichi vijiko vitano, na kijiko kidogo cha kitunguu saumu cha kusaga shushia na mayai mawili ya kuchemsha hasa ya kienyeji daily
CHORDS THAT ARE...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbali mbali na watu wengi wamekuwa wakilalamika kuwa matumbo yanajaa ges au wana vimbewa.
Kwanza hakikisha usiku kabla ya kulala...
Leo bwana nimetoka kuzurura nimerudi kulala aaa nikaona kila siku kula kwa jirani noma ngoja leo nikaushe nipike nikaingia rum kuangaza angaza kupika cha dakika 2 akili ikanijia fasta mchuzi wa...